Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

hivi ushahidi wa kwamba huyu anatoka na makonda uko wapi? au ndo vile kisa Miungu watu wema na mange wamesema?
 
Agness Masogange ni Moja ya vitukuu vya Harlot Rehab (Jericho city).

"Huli Pasipo ngono Kahab*..? "
 
Haya mambo binafsi yeye na mkewe sie hatuhusu ima tu mkewe aje kulalamika huku ndo tutokwe na povu ila ni bora kuacha kufatilia mahusiano ya wengine


Yanatuhusu maana hilo tako limemlevya mkuu hataki hata kumtaja huyo binti wakati nae ni msafirishaji mzuri wa madawa na alishawahi kukamatwa enzi za Mwakyembe lakini kesi iliyeyuka!!

Angetembea na mwanahawa isingekuwa shida , saivi ni shida coz anatoka na masogange mbeba unga na hajamtaja
 
Kweli Wema ni Role Model wa Watanzania wengi.

Yaani sikutegemea kabisa kama utetezi wake ungeungwa mkono na watu wengi namna hii

Wengine wamemgeuka Mheshimiwa kabisa kisa Role Model wao Wema kasema.
 
amejiuza south Africa mpaka wamemchoka huyo aliempamgishia nyumba huko Makongo sijui ana akili gani aisee....kiongozi mzima kumpangishia nyumba huyu ni kujidhalilisha tu
Haya mambo yapogo tu, hayana cheo wala nini maana hata mheshimiwa wetu naskia yupo vizuri idara hiyo.
 
Kuongea vitu visivyo na ushahidi ni umasikini wa kifikra, haina tofauti na umbeyaa.

Watoto wa kiume mnakuwa wambeyaa kiasi hiki kuliko hata dada zenu..!? Ni hatari kwa Taifa.

Tunajua wauza madawa nao ni watu wenye uwezo hivyo lazima wamchafue Mh mkuu wetu wa Mkoa, napenda kumwambia, Watanzania Wanyonge tupo nyuma yake na Mungu atambariki kufikia lengo lake.

Hata kama kapanga nyumba makongo sio shida kwa sababu pengine kapanga ili apate taarifa na mtandao mzima wa mashetani yanayo tuletea madawa ya kulevya.

Watanzania tunatakiwa tuipe dola nafasi, kwa style hii tutawavunja nguvu watetezi wetu na Taifa kuhangamia kabisa na madawa ya kulevya.

NB kwa faida yenu, hakuna mwanamke anaejua kubembeleza mwanaume, kama mwanamke alie tumika sana na mwenye kilometa nyingi. Ukitaka kuenjoy barabara tafuta Gari lenye engine kubwa kama V8.
Hasa hasa barabara ya vumbi, au topeni, hapo raha ya v8 (kilimo kwanza) utaiona.
 
Kwa zigo lile.inzi kufia juu ya kidonda ni halali yake.
 
Back
Top Bottom