Kuongea vitu visivyo na ushahidi ni umasikini wa kifikra, haina tofauti na umbeyaa.
Watoto wa kiume mnakuwa wambeyaa kiasi hiki kuliko hata dada zenu..!? Ni hatari kwa Taifa.
Tunajua wauza madawa nao ni watu wenye uwezo hivyo lazima wamchafue Mh mkuu wetu wa Mkoa, napenda kumwambia, Watanzania Wanyonge tupo nyuma yake na Mungu atambariki kufikia lengo lake.
Hata kama kapanga nyumba makongo sio shida kwa sababu pengine kapanga ili apate taarifa na mtandao mzima wa mashetani yanayo tuletea madawa ya kulevya.
Watanzania tunatakiwa tuipe dola nafasi, kwa style hii tutawavunja nguvu watetezi wetu na Taifa kuhangamia kabisa na madawa ya kulevya.
NB kwa faida yenu, hakuna mwanamke anaejua kubembeleza mwanaume, kama mwanamke alie tumika sana na mwenye kilometa nyingi. Ukitaka kuenjoy barabara tafuta Gari lenye engine kubwa kama V8.