Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

mi hata sielewi wanafumuliwa tu,.. mi nadhani ningekuwa na nyumba za kutosha tu sababu ningekuwa napokea kodi kwenye nyumba yangu haah aaha
True bidada yaani wanasikitisha mno kwa chance walizonazo wanafurahia kupangiwa??[emoji57] [emoji57] [emoji57] Yaani me wabongo wakikutana na akili kubwaz mbona easy tu kutusua!![emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
kabisa wanasahahu uzee unakuja huwezi kutikisha tena mkia
 
kabisa wanasahahu uzee unakuja huwezi kutikisha tena mkia
Kama hyo agnes na wema mwakani tu wanagonga 30, mjini penywe hawana mishe za kueleweka afu wanapata madanga ya maana wanaacha kukomalia vtu vya maana kutwa kutudolishia misambwanda snap!!lke u say final uzeeni!!!
 
yah watajuta ukiamua uza uza kwa faida
 
Ata ivo watakua wamefaidika saana tangu enzi akiliwa na...... Hadi Leo analiwa na .......
Mi sio mchochezi
 
Huu msambwanda hata wewe ungekuwa na kacheo ungeutafuta..namshauri mh amtoe makongo ampangishie kwingine
 
Kuongea vitu visivyo na ushahidi ni umasikini wa kifikra, haina tofauti na umbeyaa.

Watoto wa kiume mnakuwa wambeyaa kiasi hiki kuliko hata dada zenu..!? Ni hatari kwa Taifa.

Tunajua wauza madawa nao ni watu wenye uwezo hivyo lazima wamchafue Mh mkuu wetu wa Mkoa, napenda kumwambia, Watanzania Wanyonge tupo nyuma yake na Mungu atambariki kufikia lengo lake.

Hata kama kapanga nyumba makongo sio shida kwa sababu pengine kapanga ili apate taarifa na mtandao mzima wa mashetani yanayo tuletea madawa ya kulevya.

Watanzania tunatakiwa tuipe dola nafasi, kwa style hii tutawavunja nguvu watetezi wetu na Taifa kuhangamia kabisa na madawa ya kulevya.

NB kwa faida yenu, hakuna mwanamke anaejua kubembeleza mwanaume, kama mwanamke alie tumika sana na mwenye kilometa nyingi. Ukitaka kuenjoy barabara tafuta Gari lenye engine kubwa kama V8.
Mkuu hayo mengine hayanihusu,nimekupa like kwa hiyo sentensi yako ya mwisho,kulingana na uzoefu wangu.
 
zoezi la ufukuaji makaburi linaendelea tunaomba ushirikiano wenu wakuu
 
Back
Top Bottom