Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

Kwani Wewe ukiwa na Biashara ya a million 50 huwezi kuanzisha ya mil 3. Cha Msingi utakuwa unazimiliki zote hujaambiwa uchague moja.

Mchana anapiga Ziara ya kustukiza Makongo anakula Mzigo jioni anakuja kula cha halali Nyumbani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kawaida sn hata ww uliye naye ujue watu wanapita kwa muda wao usijisahau ukahs uko alone ndugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dude hilo tamu kuchezea chezea msebwenda huo...lakini tukija upande wa machine hamna kitu miles zimetembea mno!
 
Ni hpo ndo nawashindwa bongo movie yaani ukimpangishia unakula hdi o,naona wanaaleji nakujengewa!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
mi hata sielewi wanafumuliwa tu,.. mi nadhani ningekuwa na nyumba za kutosha tu sababu ningekuwa napokea kodi kwenye nyumba yangu haah aaha
 
Back
Top Bottom