Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

Nimekumbuka ule msemo. "Asiyekuwa na kosa ndye aamza kumtupia huyu mama mawe"
 
Mavi! Alikwama Samson mbele ya bibie Delila mpaka akatoa siri ya nguvu zake sembuse huyu mwanasiasa kijana? Haya mambo ni magumu ohoooo!!!
Ni magumu ikiwa unahubiri hivi na kufanya vile... Mapungufu ya kibinadamu unatakiwa Ila ubaya ni kufanya mambo kwa kinafiki
 
Kwa mbaliiiiiiiiiii naona mwisho wa hii move aliyoianzisha mkulu wetu wa mkoa pale bandari Salama,ingawa nipo mbali lakini kiona mbali changu kimeona steering akifia kwenye Mchanga wa coco beach.
Umenikumbusha wimbo wa Afande Sele.... naona mbali kwa darubini kali.... nahisi yeye hajatajwa kwa vile sio mwana dsm hahahah bongo raha
 
Kajigeuzia manati! Dah hii vita ngumu kuiwin, inabidi uwe na dhamira ya dhati sana, na sio chuki wala "kiki"
Na atapoteza mengi tu.. Yule kahaba Hana tofauti Na machangu Wauza nyuchi, tofauti ni jinsi ya kuweka bidhaa zao sokoni... Mtu Una cheo kikubwa serekalini Huoni hata aibu kuchepuka na Malaya?! Anayeuza uchi kwa pesa! Asiyejuwa thamani ya uke wake, anaugawa uchi kwa yeyote aliye na pesa... Aibu kubwa Hii.
 
amejiuza south Africa mpaka wamemchoka huyo aliempamgishia nyumba huko Makongo sijui ana akili gani aisee....kiongozi mzima kumpangishia nyumba huyu ni kujidhalilisha tu
Nyie mawakala na watumiaji wa madawa ya kulevya mtahangaika sana kutaka kumkwamisha Makonda lakini safari hii mtaisoma namba.
Wewe nani hakujui kama unaishi kwa hisani ya watu wa ngada
 
Kuongea vitu visivyo na ushahidi ni umasikini wa kifikra, haina tofauti na umbeyaa.

Watoto wa kiume mnakuwa wambeyaa kiasi hiki kuliko hata dada zenu..!? Ni hatari kwa Taifa.

Tunajua wauza madawa nao ni watu wenye uwezo hivyo lazima wamchafue Mh mkuu wetu wa Mkoa, napenda kumwambia, Watanzania Wanyonge tupo nyuma yake na Mungu atambariki kufikia lengo lake.

Hata kama kapanga nyumba makongo sio shida kwa sababu pengine kapanga ili apate taarifa na mtandao mzima wa mashetani yanayo tuletea madawa ya kulevya.

Watanzania tunatakiwa tuipe dola nafasi, kwa style hii tutawavunja nguvu watetezi wetu na Taifa kuhangamia kabisa na madawa ya kulevya.

NB kwa faida yenu, hakuna mwanamke anaejua kubembeleza mwanaume, kama mwanamke alie tumika sana na mwenye kilometa nyingi. Ukitaka kuenjoy barabara tafuta Gari lenye engine kubwa kama V8.
 
Dada yetu Masogange akiwa analirusha mara kulia mara kushoto bila wasiwasi wa landlord



Tatizo la changudoa, akishazoea kuchezewa na wanaume uchwara anakuwa kawehuka na kufikiri kila mwanamme ni zezeta. Huyu demu bado hana akili....bado tu hajajuwa kuwa umri unamkimbia.
 
Back
Top Bottom