Adimu
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 661
- 297
Habari za muda huu ndugu wanafamilia wa Jamiiforums, baada ya kuzunguka sana kutafuta kijiwe cha kupeleka bajaji kupiga kazi na kukutana na garama kubwa sana za viingilio, nimekuja kwenu wadau wa hivi vyombo mnisaidie ni kijiwe kipi ntaweza kuingia kwa garama za kawaida (nafuu) kwa kipindi hiki cha hali ngumu, ahsanteni.