Kijiwe cha bajaji

Kijiwe cha bajaji

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
661
Reaction score
297
Habari za muda huu ndugu wanafamilia wa Jamiiforums, baada ya kuzunguka sana kutafuta kijiwe cha kupeleka bajaji kupiga kazi na kukutana na garama kubwa sana za viingilio, nimekuja kwenu wadau wa hivi vyombo mnisaidie ni kijiwe kipi ntaweza kuingia kwa garama za kawaida (nafuu) kwa kipindi hiki cha hali ngumu, ahsanteni.
 
Habari za muda huu ndugu wanafamilia wa jamiiforums, baada ya kuzunguka sana kutafuta kijiwe cha kupeleka bajaji kupiga kazi na kukutana na garama kubwa sana za viingilio, nimekuja kwenu wadau wa hivi vyombo mnisaidie ni kijiwe kipi ntaweza kuingia kwa garama za kawaida (nafuu) kwa kipindi hiki cha hali ngumu, ahsanteni.
Zilete mgeninan huku
 
unaishi wapi
 
Back
Top Bottom