Mkuu anko magu kabana kishenzi yani Hali ni mbaya tuvushe mwanaAman iwe nanyi masela wote wa jukwaan
Oy niaje pande hizo makachaa
Life linasomeka lakin au mizinguo
Oy niaje kwa hapa sinza makinikia yanapatikana wapi
Oy kwa hapa sinza cha arusha nitapata wapi mazee maana naona kichwa kimefulot nahitaji kukizimua
Oy tupeane michongo mazee
Vp life linasomeka lakin
Nahitaj wana kama watano hivi niwavushe mambele kwa trump kuna kazi nimewatafutia za kubeba mabox na kuosha vikongwe
Aman iwe nanyi
LONDON BABY
Ah!ndo hivo tunakomaa kibish tu so tu tag Wana basiDah pole sana mchiz wangu life mamton linasomeka sana na kama ukiwa mchapa kaz miaka miwili mingi lazima utoboe
Kweli mwana incharge manyota wangu, nakuona una hasira sana na life, pouwa mwana hakuna noma masela, aminiaaa.mzazi kama unataka kuvuka mwez wa kwanza mwakan mimi naamusha majembe
Kwahiyo jipange tu mwana tuamushe