Kijiwe cha masela, masela tukutane hapa turonge kuhusu life la anko magu

Kijiwe cha masela, masela tukutane hapa turonge kuhusu life la anko magu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi masela wote wa jukwaan

Oy niaje pande hizo makachaa

Life linasomeka lakin au mizinguo

Oy niaje kwa hapa sinza makinikia yanapatikana wapi

Oy kwa hapa sinza cha arusha nitapata wapi mazee maana naona kichwa kimefulot nahitaji kukizimua

Oy tupeane michongo mazee

Vp life linasomeka lakin

Nahitaj wana kama watano hivi niwavushe mambele kwa trump kuna kazi nimewatafutia za kubeba mabox na kuosha vikongwe

Aman iwe nanyi

LONDON BABY
 
Mkuu anko magu kabana kishenzi yani Hali ni mbaya tuvushe mwana
 
Mkuu anko magu kabana kishenzi yani Hali ni mbaya tuvushe mwana
Dah pole sana mchiz wangu life mamton linasomeka sana na kama ukiwa mchapa kaz miaka miwili mingi lazima utoboe
 
Kumbuka kudondosha malike ya kufa mtu kwa member
 
Mbwanda kala mbwanda masela, Mbuzi kalamba reli mwanangu..
 
mzazi kama unataka kuvuka mwez wa kwanza mwakan mimi naamusha majembe

Kwahiyo jipange tu mwana tuamushe
Kweli mwana incharge manyota wangu, nakuona una hasira sana na life, pouwa mwana hakuna noma masela, aminiaaa.
 
Back
Top Bottom