Kijiwe cha MMU.

Kijiwe cha MMU.

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Members kumekuwa na maoni mbalimbali kutoka watu mbalimbali wakitaka wana j.f tukutane mahali tufahamiane,ili swala limekuwa gumu sana kwa baadhi yetu kama sisi hasa ukizingatia mazingira yetu.Nimeamua kuanzisha kijiwe hapahapa J.f ili tuweze kubadilishana mawazo mbalimbali kuhusu J.f yetu kama kueleza historia zetu tangu kujiunga hapa J.f,uzi ambao unahisi ulibadili kabisa style ya maisha yako kama kuna kuna mtu unamkubali sana hapa sio mbaya kumpa moyo na hata kama unamchukia ili ajifunze na mengineyo mbalimbali kama kuna uzi unahisi Hautusahau kamwe katika maisha yako upachike hapa.
images
images

Nisiwachoshe sana,Mimi binafsi kabla ya kujiunga hapa J.f Nilikuwa nikisoma tu nyuzi mbalimbali kwa zaidi ya Miaka 2 kwa kweli wala sikutegemea kama nitakuja kujiunga humu kutokana na Mazingira yangu lakini nashukuru nimejiunga na sasa niongee ukweli J.f Imedilisha Maisha yangu kwa Asilimia kubwa sana hasa kiakili,kiuchumi Siwezi kuongea yote Ila Niseme Tu Ahsante sana Wana J.f wote Changamoto za humu ndani nazipenda kuliko kitu chochote humu. J>F IDUMU MILELEEEEEEEE.
 
Jf imenifundisha mengi awali sikuyajua
 
kuhus kufhmian kwa wana jf hilo sahau mana ladies weng n fake mbali na hilo nmwjifunz meng pia
 
Kuonana face to face?
90% ya wanawake wa humu mashauzi natambo nyingi ila ni vibayaaa
Wakaka nao wanajifanya madon wajanja wa mjini ukikutana nae utashangaa
Hohehahe hawana mbele wala nyuma
 
Ha ha ha ha ha nakuona nakuona bae wake mwanangu.....
 
kumbe jf kila MTU ni don halafu mademu picha zao unaweza kudata
 
Kuonana face to face?
90% ya wanawake wa humu mashauzi natambo nyingi ila ni vibayaaa
Wakaka nao wanajifanya madon wajanja wa mjini ukikutana nae utashangaa
Hohehahe hawana mbele wala nyuma
Kumbe wewe una uwezo
Ngoja nije PM uniassist
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
JF ni my second home... Yaani najifunza mengi kila siku... Mkionana msisahau kuturushia na tupicha humu
 
Jaman mimi sio fake....nina miliki boxer moja nyeusi sio mpya kivileee...halafu nina hela ya kutosha kula mimi na mtu mmoja mwingine ....naishi NHC.. Na sina elimu kuuuubwa kivile ila ujinga niliukwepa
 
Kuonana face to face?
90% ya wanawake wa humu mashauzi natambo nyingi ila ni vibayaaa
Wakaka nao wanajifanya madon wajanja wa mjini ukikutana nae utashangaa
Hohehahe hawana mbele wala nyuma
Tantee rubii[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mimi natembezaga voicenotes na audio kabisaaaaa
Nilikuwa najua
Ndiyo maana hata sijataka kuanzisha Makapuku ya WhatsApp asiyeridhika kuchat hapahapa Chitchat basi tena tusitafutane hata PM
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom