No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Members kumekuwa na maoni mbalimbali kutoka watu mbalimbali wakitaka wana j.f tukutane mahali tufahamiane,ili swala limekuwa gumu sana kwa baadhi yetu kama sisi hasa ukizingatia mazingira yetu.Nimeamua kuanzisha kijiwe hapahapa J.f ili tuweze kubadilishana mawazo mbalimbali kuhusu J.f yetu kama kueleza historia zetu tangu kujiunga hapa J.f,uzi ambao unahisi ulibadili kabisa style ya maisha yako kama kuna kuna mtu unamkubali sana hapa sio mbaya kumpa moyo na hata kama unamchukia ili ajifunze na mengineyo mbalimbali kama kuna uzi unahisi Hautusahau kamwe katika maisha yako upachike hapa.
Nisiwachoshe sana,Mimi binafsi kabla ya kujiunga hapa J.f Nilikuwa nikisoma tu nyuzi mbalimbali kwa zaidi ya Miaka 2 kwa kweli wala sikutegemea kama nitakuja kujiunga humu kutokana na Mazingira yangu lakini nashukuru nimejiunga na sasa niongee ukweli J.f Imedilisha Maisha yangu kwa Asilimia kubwa sana hasa kiakili,kiuchumi Siwezi kuongea yote Ila Niseme Tu Ahsante sana Wana J.f wote Changamoto za humu ndani nazipenda kuliko kitu chochote humu. J>F IDUMU MILELEEEEEEEE.