KIJIWENI LEO: Dakika 120 kuamua matokeo kati ya Chelsea na Barcelona kesho

Ahahahaha mkuu unataka kusema hata ile sare ya pale darajani refa alipendelea. Jiandaeni tu kufunga virago vyenu msisingizie marefa
Ile sare nguzo ndio iliwaokoa
Ilipaswa barca ipigwe 3-1

Ila pale camp nou nna was was na marefa
 
Kuna mzee Jana tulikuwa tunatazama mechi ya Arsenal vs Watford akasema .
"Akasema kama Chelsea atamutoa barca basi basi Mimi ndio utakuwa mwisho wangu wa kutazama kandanda"

Nafasi kubwa ya kusonga mbele ipo kwa Barcelona.
 
pamoja sana mkuu
 
Mimi si shabiki wa chelsea ningependa apite lakini hali ni ngumu ni "kama ngamia kupenya katika tundu la sindano"

Tusubiri mechi, yanaweza kuwa kama ya bibikizee wa Turin!!!
Huwa namuamini sana chelsea kumfunga barca kuliko hata Real kumfunga barca
Anything can happen usi jibakikishie moja kwa moja
Mi mwenyewe nampa nafas barca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…