Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Sawa ngoja tuoneTusubiri ntakukumbusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ngoja tuoneTusubiri ntakukumbusha.
Ahahahaha mkuu unataka kusema hata ile sare ya pale darajani refa alipendelea. Jiandaeni tu kufunga virago vyenu msisingizie marefaNinacho ogopa ni uongo uongo wa barcelona na marefa wao.
Ila ikiachwa mechi ikapigwa mano o mano
Anakufa barcelona
Ile sare nguzo ndio iliwaokoaAhahahaha mkuu unataka kusema hata ile sare ya pale darajani refa alipendelea. Jiandaeni tu kufunga virago vyenu msisingizie marefa
pamoja sana mkuuKuna mzee Jana tulikuwa tunatazama mechi ya Arsenal vs Watford akasema .
"Akasema kama Chelsea atamutoa barca basi basi Mimi ndio utakuwa mwisho wangu wa kutazama kandanda"
Nafasi kubwa ya kusonga mbele ipo kwa Barcelona.
Away goal, yes!!Mfano mechi ikimalizika kwa sare ya bila kufungana. (Barc 0-0 chelsea) si ni chelsea anaaga mashindano au sheria imeshabadilishwa...?
Barcelona haina uwezo huoBARCELONA NDYO ILIMSTAAFISHA FERGUSON. MSIJFANYE KUSAHAU..
Ipoo hiyooMfano mechi ikimalizika kwa sare ya bila kufungana. (Barc 0-0 chelsea) si ni chelsea anaaga mashindano au sheria imeshabadilishwa...?
[emoji1]hahahahah mkuu usije kukana maandishi hako. siunajua lolote laweza tokea ktk mpira?
Chelsea ya sasa hawezi mfunga barc "nou camp" labda nawapa kimpaumbele cha draw!!Ipoo hiyoo
Anaweza toa 2-2Chelsea ya sasa hawezi mfunga barc "nou camp" labda nawapa kimpaumbele cha draw!!
Mimi si shabiki wa chelsea ningependa apite lakini hali ni ngumu ni "kama ngamia kupenya katika tundu la sindano"Anaweza toa 2-2
Lolote laweza kutokea
Huwa namuamini sana chelsea kumfunga barca kuliko hata Real kumfunga barcaMimi si shabiki wa chelsea ningependa apite lakini hali ni ngumu ni "kama ngamia kupenya katika tundu la sindano"
Tusubiri mechi, yanaweza kuwa kama ya bibikizee wa Turin!!!