Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Brcelona ilimstaafisha vipi Sir Alex?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brcelona ilimstaafisha vipi Sir Alex?
Rekodi ya barca kwa chelsea sio nzuri kihivoo!Wabongomani bwana. Visababu huwa havikosekani,, mara oh Barca watasaidiwa mara oh barca anafungwa...muda utaongea subirini...
My prediction ni hivi
Blauzi 1-3 Barca
King 2
Sua 1
Kesho kama kawaida tutawaacha barca wacheze watakavyo ila wakijisahau tunapiga vya kushtukiza then tunarudi nyuma kulinda kambi.
Rekodi ya barca kwa chelsea sio nzuri kihivoo!
Hii komenti yako nitaitafuta baada ya mechiChelsea akifuzu Natangaza nitolewe jamii forum
Mleta mada huna facts ila Mihemko tu kwanza ikitokea 0-0 haina haja ya kuongeza muda moja kwa moja Barcelona amepita.
Mkuu kinachoangaliwa ni magoli haijalishi yamepatikana kwa kupaki basi au mkokoteniNdio kawaida yao kupaki bus hao,, hawana mpira wa maana ni maguvu tu 😀😀😀 that day nilicheka sana...wapo kwao wametoka draw alafu wote wakarudi nyuma kuzuia mpaka mafoward na winget walikuwa wanamzunguka king 😀😀😀
Possession ilikuwa 73%-27%😀😀😀 sasa camp nou itakuwaje???? 90%-10% 😀😀😀
ndio maana unaona nimepandisha komenti za wadau pale juu! bado uwezo wa kuedit ninaoTotally hii mada iko wrong sababu mechi hiyo ni juma 5 wewe umesema kesho ambacho ni uongo
Pia iyo mechi ikitoka 0-0 Chelsea atatoka sababu barca atakuwa na faida ya away goal
Ficha ujinga wako mkuu
hii staili ni nzuri mkianza kushinda, ila ni mbaya indapo dk ya 5, 12, 34, 46 mkaruhusu 4GKesho kama kawaida tutawaacha barca wacheze watakavyo ila wakijisahau tunapiga vya kushtukiza then tunarudi nyuma kulinda kambi.
Messi hafungi keshoKutoka sare ni vigumu mno. Hiyo siku kutakuwa na kilio na kusaga meno babaa...Messi atastaafisha viumbe that day,, mark my words
Barca kumfunga chelsea si rahisi kama unvyodhani kumbuka nao hawapo vizur sana wapo kwenye transformation ya eneo la kiungo vilvile iniesta atakuwepi lakini hayupi fit100% countihno nae hata cheza then dembele bado hajaadapt vizur mfumo wa barca vilevile ukuta wa barca sio imara sana endapo chelsea watafunguka na kushambulia kuna uwezekano mkubwa sana wa barca kufungwa@ chelsea anaadvantage kwa sababu ataingia kama underdog hivyo tusubir mechi jumatanoBarca keshokutwa watakuwa na kazi nyepesi sana usishangae wakamtia chelsea 3 mtungi.
Mm pia tatizo ni marefa kuibeba barca ila naamini barca anatoka vizuri tuu! Hata ile mechi iliyopita draw aliipata kwa bahati tuu uzembe wa beki.Ninacho ogopa ni uongo uongo wa barcelona na marefa wao.
Ila ikiachwa mechi ikapigwa mano o mano
Anakufa barcelona
Ninacho ogopa ni uongo uongo wa barcelona na marefa wao.
Ila ikiachwa mechi ikapigwa mano o mano
Anakufa barcelona
Mm pia tatizo ni marefa kuibeba barca ila naamini barca anatoka vizuri tuu! Hata ile mechi iliyopita draw aliipata kwa bahati tuu uzembe wa beki.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa iyo logic yako kweli wewe ni empty set