Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazard hata gusa mpira
Atafanywa kama salaah
Kwani lazima ukubaliane na hoja yangu?Kwa iyo logic yako kweli wewe ni empty set
Mpaka Dk 90 bila bila " Chelsea Out "Mfano mechi ikimalizika kwa sare ya bila kufungana. (Barc 0-0 chelsea) si ni chelsea anaaga mashindano au sheria imeshabadilishwa...?
hio ni betting ndogo. ungesema una.....!!![emoji2]Chelsea akifuzu Natangaza nitolewe jamii forum
Reverse ur comment dudeBarcelona wakiifunga Chelsea najitoa Jf.....Barca hawana uwezo wa kuwatoa Chelsea
point of correction! blauz1: tigo3:Wabongomani bwana. Visababu huwa havikosekani,, mara oh Barca watasaidiwa mara oh barca anafungwa...muda utaongea subirini...
My prediction ni hivi
Blauzi 1-3 Barca
King 2
Sua 1
point of correction! blauz1: tigo3:
cjui kama utanielewa!
kumbe blauz c tusi, basi na tigo vivyohivyo!Sina haja ya kubishana na wewe. Maana matusi sio hulka yangu kamanda
Blauzi 1-3 Barca
King 2
Mnyama 1
Tuonane saa 22:45..kwaheri!
La mama mayoFicha upumbu wako ga.y wewe
Haukuwa serious bila shaka[emoji3]Barcelona wakiifunga Chelsea najitoa Jf.....Barca hawana uwezo wa kuwatoa Chelsea
heey! najua umekuja kasi ukitaka kuporomosha data na takwimu kuhusu mchezo wa Chelsea na Timu inayo ongozwa na mchezaji bora wa dunia L.M
wakati meingine hisia huweza kuwa sahihi zaidi ya hizo data na takwimu. nina hisia kwamba kesho mchezo huo utaisha kwa sare na hivyo kulazimika kuongeza dakika zileeee ..! na hivyo matokeo kuamuliwa baada ya dakika hizo za nyongeza
MUHIMU: hisia hizi sio lazima ziwe 100% correct.
dokezo dogo- kesho besiktas atashinda dhidi ya mpinzani wake Beryan munich hivyo kwa mnao beti kwenye mechi hii wekeni mzigo wa kutosha.
yapi maoni yako?
NOTED.
noted