Kijiweni leo: kwanini hakuna wazee wenye majina ya kelvin?

Habari tena!
Leo kijiweni mzee mjuaji sana (Kamugisha) alikuja na jibu baada ya kuulizwa jana kuwa kwanini hawajawahi kusikia Mzee yeyote anaitwa KELVIN.

SABABU!
Baada ya mzee kufikiria akaja na jibu kuwa, jina la KELVIN lilikuja Tanzania miaka ya 90's hivyo lilianza kutumika kuanzia mikoa ya Mwanza na Dar na akasema kuwa wenye umri mkubwa kwasasa wana 35 kwasababu hiyo hadi sasa KELVIN wengi bado ni vijana.

Tutegemee kupata wazee wenye majina ya KELVIN ifikapo mwaka 2040 - 2060.

Mmeridhika na UTAFWITI???
Watu wazima hutumia majina ya ukoo isipokuwa walokole, vinginevyo koo zetu zingetoweka kama za waislamu, Zanzibar hawana ukoo.
 
Habari tena!
Leo kijiweni mzee mjuaji sana (Kamugisha) alikuja na jibu baada ya kuulizwa jana kuwa kwanini hawajawahi kusikia Mzee yeyote anaitwa KELVIN.

SABABU!
Baada ya mzee kufikiria akaja na jibu kuwa, jina la KELVIN lilikuja Tanzania miaka ya 90's hivyo lilianza kutumika kuanzia mikoa ya Mwanza na Dar na akasema kuwa wenye umri mkubwa kwasasa wana 35 kwasababu hiyo hadi sasa KELVIN wengi bado ni vijana.

Tutegemee kupata wazee wenye majina ya KELVIN ifikapo mwaka 2040 - 2060.

Mmeridhika na UTAFWITI???
Ma babu na wazee by the name KELVIN wako wengi
 
Kevin Murphy or
Kibajaji Murphy
Kevin Shitman
Sio tena
Kabugia Kalamagendo
Atufekile Mwakazalendo
 
Habari tena!
Leo kijiweni mzee mjuaji sana (Kamugisha) alikuja na jibu baada ya kuulizwa jana kuwa kwanini hawajawahi kusikia Mzee yeyote anaitwa KELVIN.

SABABU!
Baada ya mzee kufikiria akaja na jibu kuwa, jina la KELVIN lilikuja Tanzania miaka ya 90's hivyo lilianza kutumika kuanzia mikoa ya Mwanza na Dar na akasema kuwa wenye umri mkubwa kwasasa wana 35 kwasababu hiyo hadi sasa KELVIN wengi bado ni vijana.

Tutegemee kupata wazee wenye majina ya KELVIN ifikapo mwaka 2040 - 2060.

Mmeridhika na UTAFWITI???
Utafiti wako ni wa uongo,
Ukweli ni kwamba mahangaiko mengi ya kina kevoo huwafanya wasiufikie uzee,
Namjua mzee kabisa mwenye jina kelvin
 
Hayo majina watu wanaitwa wakiwa bado vijana na hawana familia, ila wakikuwa na familia mara nyingi watu hufahamika kwa majina ya ukoo. Hivyo huwezi kusikia mume wa mtu anaitwa kwa jina lake.
 
lilikuja kutoka wapi na nani alilileta ? Kwahio sisi tuliosoma before miaka ya Tisini hii Unit ya Temperature The kelvin, symbol K, is the base unit for temperature in the International System of Units (SI). Tulikuwa tunatumia jina gani ?

Ushauri badilisha kijiwe achana na hao wajuaji wasiojua...
 
Back
Top Bottom