Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Watu wazima hutumia majina ya ukoo isipokuwa walokole, vinginevyo koo zetu zingetoweka kama za waislamu, Zanzibar hawana ukoo.Habari tena!
Leo kijiweni mzee mjuaji sana (Kamugisha) alikuja na jibu baada ya kuulizwa jana kuwa kwanini hawajawahi kusikia Mzee yeyote anaitwa KELVIN.
SABABU!
Baada ya mzee kufikiria akaja na jibu kuwa, jina la KELVIN lilikuja Tanzania miaka ya 90's hivyo lilianza kutumika kuanzia mikoa ya Mwanza na Dar na akasema kuwa wenye umri mkubwa kwasasa wana 35 kwasababu hiyo hadi sasa KELVIN wengi bado ni vijana.
Tutegemee kupata wazee wenye majina ya KELVIN ifikapo mwaka 2040 - 2060.
Mmeridhika na UTAFWITI???
Ma babu na wazee by the name KELVIN wako wengiHabari tena!
Leo kijiweni mzee mjuaji sana (Kamugisha) alikuja na jibu baada ya kuulizwa jana kuwa kwanini hawajawahi kusikia Mzee yeyote anaitwa KELVIN.
SABABU!
Baada ya mzee kufikiria akaja na jibu kuwa, jina la KELVIN lilikuja Tanzania miaka ya 90's hivyo lilianza kutumika kuanzia mikoa ya Mwanza na Dar na akasema kuwa wenye umri mkubwa kwasasa wana 35 kwasababu hiyo hadi sasa KELVIN wengi bado ni vijana.
Tutegemee kupata wazee wenye majina ya KELVIN ifikapo mwaka 2040 - 2060.
Mmeridhika na UTAFWITI???
NdiooiKikubwa aliyefanya tafiti na kuja na majibu ni mzee Kamugisha itoshe kusema utafiti wake ni sahihi maana najua elimu anayo tena kubwa tu .
Ila angekuwa sijui ni mzee Said wa mkuranga ningesema tufanye tafiti upya
Ah wapi mkuuMa babu na wazee by the name KELVIN wako wengi
Hayo majina bado wasukuma hatujayqpata vyema sio kamaSijaona mtanzania anaitwa MURPHY OR MURPHIE lakini nimeonA EDDIE OR EDDY
VINCENTHayo majina bado wasukuma hatujayqpata vyema sio kama
PAUL
KELVIN
JOSEPH
MARTIN
N.K
RodneyVINCENT
RODNEY
WALTER
Utafiti wako ni wa uongo,Habari tena!