Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Leo angalieni mpira wenye hadhi na ladha zakutosha kutoka timu bora kabisa Tanzania.Maigizo ya jana tuachane nayo tukaangalie mechi halisi.
 
Hawa mbumbumbu fc wanajidanganya lakini ukweli wanaujua kuwa ubingwa watauona azam tv na wakijitahidi labda wakaibe hilo kombe
 
SHILAWADU FC kwa midomo amuwezekani kama yule msemaji wenu na yule chotara wa kijerumani na kihehe bila ya kuitaja Yanga siku aishi vizuri!!!!!
 
SHILAWADU FC kwa midomo amuwezekani kama yule msemaji wenu na yule chotara wa kijerumani na kihehe bila ya kuitaja Yanga siku aishi vizuri!!!!!
Mkuu ni Ndala wenzako wanahitaji majibu ya hayo maswali.. Mimi nishakamata siti yangu hapa nasubiri kushuhudia soka la uhakika.
 
SHILAWADU watamwagika kama mvua ya masika sasa
 
Kumbe umeishswasha simu tayari.
Duh baiskeli yenu mwaka huu bado inadai. Hongera kwa leo na kagoli hako kamoja lakini point zenu tatu
mwendo ndo huu huu mpaka mwisho wa ligi.
 
Hatimae rungu limevunjwa.Heri ya mwaka mpya kwa Masau Brire na watani zangu vyura fc.
 
Vyura FC sasahivi taabani Baada Ya Mnyama Kumdungua Ruvu... 😀😀
 
Mkuu naihifadhi hii kauli yako.. Nitarejea baada ya dk. 90.

ANGALIZO: Leo sipo eneo korofi.
Mtani tizama uzuri huu ushindi mwembamba mwembamba hauashirii kama huko mbele patakuwa pazuri kuweni makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…