Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Lisilo na mjadala ni mikia kulala mapema leo.Mshaanza kutafuta sababu.. Leo mvua inyeshe jua liwake.. Suala la Ruvu kuadhibiwa halina mjadala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisilo na mjadala ni mikia kulala mapema leo.Mshaanza kutafuta sababu.. Leo mvua inyeshe jua liwake.. Suala la Ruvu kuadhibiwa halina mjadala.
Lisilo na mjadala ni mikia kulala mapema leo.
Utaupata Azam Tv saa kumi na mbiliUsisahau Kutuletea Mrejesho tu....
Kwa HesabuKali tulizozifanya.. mwali lazima atue Msimbazi.Hawa mbumbumbu fc wanajidanganya lakini ukweli wanaujua kuwa ubingwa watauona azam tv na wakijitahidi labda wakaibe hilo kombe
SHILAWADU FC kwa midomo amuwezekani kama yule msemaji wenu na yule chotara wa kijerumani na kihehe bila ya kuitaja Yanga siku aishi vizuri!!!!!Nikiwa nishaanza shamra za kusherekea ushindi mzito wa leo wa Simba S.C dhidi ya Ruvu.. Nipo kijiweni na mashabiki wa Ndala wakiwa wamenyong'onyea.. Kisa.. Mkata Umeme!!
Nasikia wakijadili kauli ya Kocha wao.. Kua Ndala wawe na uvumilivu na Mkata Umeme.. kwani jamaa alikua nje ya uwanja kwa mda wa miezi 6.
Hawa jamaa wamejiuliza maswali haya, wakakosa majibu;
1. Kabla ya kumsajili, Je walifahamu kua kwanini jamaa alifungiwa kucheza soka kwa mda wa miezi 6?
2. Kama walifahamu, kwanini walimsajili mtu ambaye hakua uwanjani mda mrefu?
3. Inakuaje Mkata Umeme analipwa zaidi ya milioni 5 akiwa benchi.. Huku wanaowapa ushindi mkiwalipa laki 8?
4. Twite alitimuliwa kisa umri.. Je mna taarifa Mkata Umeme ni kinda la miaka 36?
Wakuu zangu Sibonike Belo Nifah Guasa Amboni demigod Nyenyere juan de otaru libeva Blank page Konaball Mwana Mtoka Pabaya Bailly5 babake nasreen Frank Wanjiru Ulimakafu bila kumsahau ndugu yenu Makoye Matale... naomba mnipatie majibu.. niwape hawa Ndala kindakindaki wenzenu.
Muhudumu fanya mambo haya mawili mda huu, kipindi nasubiri majibu;
1. Niongezee kinywaji
2. Ongeza sauti ya huo wimbo... "... ama kweli wajinga ndo waliwao.. kekundu.. kekundu.. kekundu... ".
Mkuu ni Ndala wenzako wanahitaji majibu ya hayo maswali.. Mimi nishakamata siti yangu hapa nasubiri kushuhudia soka la uhakika.SHILAWADU FC kwa midomo amuwezekani kama yule msemaji wenu na yule chotara wa kijerumani na kihehe bila ya kuitaja Yanga siku aishi vizuri!!!!!
SHILAWADU FC HAOOMikia kwaumbea hamjambo.
Kumbe umeishswasha simu tayari.Ruvu Shooting au?
Nadhani Kandambili hawaelewi kabisa.mwendo ndo huu huu mpaka mwisho wa ligi.
Mtani tizama uzuri huu ushindi mwembamba mwembamba hauashirii kama huko mbele patakuwa pazuri kuweni makiniMkuu naihifadhi hii kauli yako.. Nitarejea baada ya dk. 90.
ANGALIZO: Leo sipo eneo korofi.