Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mkuu unalizungumzia hili kinda..
Hapo likua lina miaka 34
Shooting mliwafunga ngapi?Hakuna shambulizi la maana zaidi ya vishuti mtoto vya mbali. Mipango ya goli nil. Kama ni mtu wa mpira unaelewa ninachoongea ingawa ubishi ni jadi
Kwa hiyo wageni wamewekwa benchi kusudi? Soka bovu mno. Muda wote pressure juu kwa mikia fc. Kwa mwendo huu muda si mrefu mtalikimbia jukwaa.
Tofauti ya ubora wa vikosi. Mikia mko hovyo kubalini tu. Wapi kichuya, mavugo, luizao, et al?
Sijaongelea idadi ya magoli, soma tena post yangu. Naongelea pattern ya timu. Muda mwingi walikuwa wanacheza bila malengo.Huyo unayesema ni mbovu anaongoza kwa tofauti ya pointi 4.Ulishindwa kumfunga mkiwa 11 kwa 10 pamoja na kubebwa. Sasa sijui nani mbovu nani mzima?Alifunga goli la halali refa akakataa. Mkacheza chaneta akakubali. Refa na kibendera kufungiwa miaka 2 bado una uso wa kusema kitu?
Mkuu, labda mliibe hilo kombe. Kwa hivi vigoli kimoja vya kubahatisha bado sana. Yanga bingwa tena!Kuna kundi moja la wachache kama Makoye Matale washaelewa Mnyama anadhamira gani msimu huu.. ila kuna kundi la wengi linaloongozwa na Sibonike ndo wamejitoa ufahamu, na hawa wataamini pale tutakapowaacha gepu la zaidi ya pointi 10 alafu zimebaki mechi 3 ligi iishe
Umerudi ingawa sio baada ya dakika 90 kama ulivyoahidi. Ulisema tukicheza sana droo. Utabiri huo umefeli bado umeendelea kuwa Sheikh Yahya unamjua hata bingwa.Hao Shooting mliwafunga ngapi?Goli 7?Mkuu, labda mliibe hilo kombe. Kwa hivi vigoli kimoja vya kubahatisha bado sana. Yanga bingwa tena!
cc SibonikeMalengo ya kucheza mpira ni nini?Kuna zaidi ya ushindi?Wamefungwa au wameshinda?Ukisema malengo ni very vague. Kucheza na timu inayo defend na kupoteza muda kuna ugumu wake. Ruvu Shooting sio timu mbovu. Ndio maana nikauliza hiyo timu yako iliyo na malengo imewafunga ngapi?Unaposema hujazungumzia magoli kwani malengo ya timu ni kufanya nini?Kupata kona nyingi?Ni aibu timu yako yenye malengo kupitwa pointi 4 na timu inayocheza bila malengo.
Kuchukua kombe ni process. Hapa kila mtu anajifurahisha kiushabiki. Leo mmeshinda halina ubishi. Tofauti ya point nne kwa michezo iliyobaki including head to head.
Sawa unabadilika ila si kwa Simba hii.. alafu kwann uwaze upepo ubadilike kwa simba tu na sio kwenu.. Nachoamini mimi Yanga mtapata matokeo mabaya zaidi ligi inapozidi kuchanganya.. huku sisi tukitakata zaidi.Kuchukua kombe ni process. Hapa kila mtu anajifurahisha kiushabiki. Leo mmeshinda halina ubishi. Tofauti ya point nne kwa michezo iliyobaki including head to head.
Ingekuwa kuongoza ligi ndiyo kushinda ligi labda. Kuongoza kunaleta confidence lakini upepo unaweza kubadilika muda wowote.
Kama Simba SC ingekuwa haichezi bila malengo, matokeo yasingepatikaSijaongelea idadi ya magoli, soma tena post yangu. Naongelea pattern ya timu. Muda mwingi walikuwa wanacheza bila malengo.
Malengo ya kucheza mpira ni nini?Kuna zaidi ya ushindi?Wamefungwa au wameshinda?Ukisema malengo ni very vague. Kucheza na timu inayo defend na kupoteza muda kuna ugumu wake. Ruvu Shooting sio timu mbovu. Ndio maana nikauliza hiyo timu yako iliyo na malengo imewafunga ngapi?Unaposema hujazungumzia magoli kwani malengo ya timu ni kufanya nini?Kupata kona nyingi?Ni aibu timu yako yenye malengo kupitwa pointi 4 na timu inayocheza bila malengo.
Mkuu.. hili kombe mwaka huu ni la mnyama, tusalimu amri tuKuchukua kombe ni process. Hapa kila mtu anajifurahisha kiushabiki. Leo mmeshinda halina ubishi. Tofauti ya point nne kwa michezo iliyobaki including head to head.
Ingekuwa kuongoza ligi ndiyo kushinda ligi labda. Kuongoza kunaleta confidence lakini upepo unaweza kubadilika muda wowote.
Kuwa mkweli, umeona wapi na lini tairi jipya likawa ndiyo mpira wa akiba?Ni kujiamini zaidi...! kuwa kikosi chote uwezo wake ni sawa
Umeandika kilugha nini?Hueleweki ulitaka kuandika nini?Jipange upya.Andika kiswahili ili ueleweke na wote.Kuwa mkweli, umeona wapi na lini tairi jipya likawa ndiyo mpira wa akiba?