Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Mkuu unalizungumzia hili kinda..

cb9231e2d5c914f3320fb2b034bcc1b4.jpg

Hapo likua lina miaka 34

Kwi kwi kwi kwi 😀😀😀😀
 
Kwa hiyo wageni wamewekwa benchi kusudi? Soka bovu mno. Muda wote pressure juu kwa mikia fc. Kwa mwendo huu muda si mrefu mtalikimbia jukwaa.

Nadhani Hiyo Pressure Juu unayoiyongelea Hapa Ni Hile Muliyokuwanayo Nyie Yeboyebo FC baada Ya Simba Kudungua Kamoja Mukitamani arejeshewe na Aongezwe Jambo Ambalo Kwamwe Haliwezi Tokea Golini Kwa Mnyama...
 
Tofauti ya ubora wa vikosi. Mikia mko hovyo kubalini tu. Wapi kichuya, mavugo, luizao, et al?

Ukiacha Unazi Wako Wa Madeni FC basi utagundua Kuwa Timu Pekee Hapa Tanzania inayocheza Soka Safi na Lakuvutia Lililo Katika Viwango Vya Karne ya 21 basi ni Simba SC.....
Tofauti na Nyie Chaneta FC ambao mpaka leo Munacheza Soka la Karne ya 19 la Butua mbele na Miamala...
 
Huyo unayesema ni mbovu anaongoza kwa tofauti ya pointi 4.Ulishindwa kumfunga mkiwa 11 kwa 10 pamoja na kubebwa. Sasa sijui nani mbovu nani mzima?Alifunga goli la halali refa akakataa. Mkacheza chaneta akakubali. Refa na kibendera kufungiwa miaka 2 bado una uso wa kusema kitu?
Sijaongelea idadi ya magoli, soma tena post yangu. Naongelea pattern ya timu. Muda mwingi walikuwa wanacheza bila malengo.
 
Malengo ya kucheza mpira ni nini?Kuna zaidi ya ushindi?Wamefungwa au wameshinda?Ukisema malengo ni very vague. Kucheza na timu inayo defend na kupoteza muda kuna ugumu wake. Ruvu Shooting sio timu mbovu. Ndio maana nikauliza hiyo timu yako iliyo na malengo imewafunga ngapi?Unaposema hujazungumzia magoli kwani malengo ya timu ni kufanya nini?Kupata kona nyingi?Ni aibu timu yako yenye malengo kupitwa pointi 4 na timu inayocheza bila malengo.
 
Kuna kundi moja la wachache kama Makoye Matale washaelewa Mnyama anadhamira gani msimu huu.. ila kuna kundi la wengi linaloongozwa na Sibonike ndo wamejitoa ufahamu, na hawa wataamini pale tutakapowaacha gepu la zaidi ya pointi 10 alafu zimebaki mechi 3 ligi iishe
Mkuu, labda mliibe hilo kombe. Kwa hivi vigoli kimoja vya kubahatisha bado sana. Yanga bingwa tena!
 
Umerudi ingawa sio baada ya dakika 90 kama ulivyoahidi. Ulisema tukicheza sana droo. Utabiri huo umefeli bado umeendelea kuwa Sheikh Yahya unamjua hata bingwa.Hao Shooting mliwafunga ngapi?Goli 7?
 
Malengo ya kucheza mpira ni nini?Kuna zaidi ya ushindi?Wamefungwa au wameshinda?Ukisema malengo ni very vague. Kucheza na timu inayo defend na kupoteza muda kuna ugumu wake. Ruvu Shooting sio timu mbovu. Ndio maana nikauliza hiyo timu yako iliyo na malengo imewafunga ngapi?Unaposema hujazungumzia magoli kwani malengo ya timu ni kufanya nini?Kupata kona nyingi?Ni aibu timu yako yenye malengo kupitwa pointi 4 na timu inayocheza bila malengo.
cc Sibonike
 
Kuchukua kombe ni process. Hapa kila mtu anajifurahisha kiushabiki. Leo mmeshinda halina ubishi. Tofauti ya point nne kwa michezo iliyobaki including head to head.

Ingekuwa kuongoza ligi ndiyo kushinda ligi labda. Kuongoza kunaleta confidence lakini upepo unaweza kubadilika muda wowote.
 
Sawa unabadilika ila si kwa Simba hii.. alafu kwann uwaze upepo ubadilike kwa simba tu na sio kwenu.. Nachoamini mimi Yanga mtapata matokeo mabaya zaidi ligi inapozidi kuchanganya.. huku sisi tukitakata zaidi.
 
Vyura wa jangwani ni vilaza sana kwenye kulisakata uwanjani. Ningekua Faizafoxy ningesema

NYIE VYURA WA JANGWANI VIPI HUYO KOCHA WENU RWANDA AMINA ALIKUJA KUWAFUNDISHA UJINGA.
 
Malengo ya kucheza mpira ni nini?Kuna zaidi ya ushindi?Wamefungwa au wameshinda?Ukisema malengo ni very vague. Kucheza na timu inayo defend na kupoteza muda kuna ugumu wake. Ruvu Shooting sio timu mbovu. Ndio maana nikauliza hiyo timu yako iliyo na malengo imewafunga ngapi?Unaposema hujazungumzia magoli kwani malengo ya timu ni kufanya nini?Kupata kona nyingi?Ni aibu timu yako yenye malengo kupitwa pointi 4 na timu inayocheza bila malengo.

Hii Ni "Comment of The Year".....
I guess YeboYebo imewagusa hii... 😀😀😀
 
Kuchukua kombe ni process. Hapa kila mtu anajifurahisha kiushabiki. Leo mmeshinda halina ubishi. Tofauti ya point nne kwa michezo iliyobaki including head to head.

Ingekuwa kuongoza ligi ndiyo kushinda ligi labda. Kuongoza kunaleta confidence lakini upepo unaweza kubadilika muda wowote.
Mkuu.. hili kombe mwaka huu ni la mnyama, tusalimu amri tu

Kwasababu sisi Vyura FC tunarukaruka tu uwanjani yaani hakuna mvuto kabisa
 
Back
Top Bottom