Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Mtani tizama uzuri huu ushindi mwembamba mwembamba hauashirii kama huko mbele patakuwa pazuri kuweni makini

Unalonena ni sahihi.. Mtalamu Omog kaliona hilo, ndo maana kashusha bunduki 2 hatari za ziada.. Pastory Athanas na Juma Luizio.
 
Kule Zambia tayari wamesha jua kuwa huko Ndala fc ni fuko la pesa lisilo na mwenyewe,,

Kwamba hata asiye na uwezo uwanjani anaweza kusajiliwa kwa Mil.300.

Tuwaache wasubili hilo kinda Lao la miaka 36 lifikishe miaka 40 ndipo litaanza kukata huo Umeme wao..
Chezea Shemeji weye,, kamwambia Rwandamila bila kumsajili kaka yangu huko uendako na wew huendi.
 
Hapo ndipo huwa tunaelewana mtani penye ukweli usemwe usilete mahaba hapo tupo sawa ligi bado ndefu tuombe uzima
 
Mbona kelele nyingi kwani sare ya ngapi ngapi?Mkuu Sembo kwani hao migongo wazi waliifunga ngapi Ruvu Shooting raundi ya kwanza?Simba wameniudhi kwa kutoa sare kwani tuliambiwa tukijitahidi basi ni sare.Wewe MO wewe.
 
Kule Zambia tayari wamesha jua kuwa huko Ndala fc ni fuko la pesa lisilo na mwenyewe,,

Kwamba hata asiye na uwezo uwanjani anaweza kusajiliwa kwa Mil.300.

Tuwaache wasubili hilo kinda Lao la miaka 36 lifikishe miaka 40 ndipo litaanza kukata huo Umeme wao..
Chezea Shemeji weye,, kamwambia Rwandamila bila kumsajili kaka yangu huko uendako na wew huendi.
Mkuu unalizungumzia hili kinda..

cb9231e2d5c914f3320fb2b034bcc1b4.jpg

Hapo likua lina miaka 34
 
Mbona kelele nyingi kwani sare ya ngapi ngapi?Mkuu Sembo kwani hao migongo wazi waliifunga ngapi Ruvu Shooting raundi ya kwanza?Simba wameniudhi kwa kutoa sare kwani tuliambiwa tukijitahidi basi ni sare.Wewe MO wewe.

Hahaha.. umenifurahisha sana Mkuu. Huyu Mo ni hatari tupu.
 
Demigod njoo ujibu hapa Mkata umeme ana miaka 36 ni kinda kwa Twite..!?

Madeni FC bila kuingilia usajili wa Simba SC hawawezi kusajili, yaani Chirwa 200 ml akili gani hii

Na leo Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni amekuonesha kuwa anaweza kupanga Wazawa mbele na kupata ushindi..!

Simba SC chuo cha soka..!
 
anaweza kupanga Wazawa mbele na kupata ushindi..!

Simba SC chuo cha soka..!
Lakini si kwa sababu wasio wazawa hawana uwezo stahiki?
 
Demigod njoo ujibu hapa Mkata umeme ana miaka 36 ni kinda kwa Twite..!?

Madeni FC bila kuingilia usajili wa Simba SC hawawezi kusajili, yaani Chirwa 200 ml akili gani hii

Na leo Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni amekuonesha kuwa anaweza kupanga Wazawa mbele na kupata ushindi..!

Simba SC chuo cha soka..!
Kwa hiyo wageni wamewekwa benchi kusudi? Soka bovu mno. Muda wote pressure juu kwa mikia fc. Kwa mwendo huu muda si mrefu mtalikimbia jukwaa.
 
Huwezi kulinganisha na mechi ya jana Madeni FC na Ndanda FC ni upande mmoja tu unachezwa.. na si kawaida yao wanakuchele lazima kuna muamala fulani ulipitishwa..!
 
Umeangalia mpira au umehadithiwa?Pressure unayoisema ilitoka wapi?Timu moja ilikuwa inacheza mpira na nyingine ina defend. Agyei amedaka mipira ya hatari mingapi?Nikumbushe raundi ya kwanza mliwafunga ngapi Ruvu Shooting goli 7?
 
Kabla ligi haijaanza.. mliongea sana kuhusu hili kwamba tutakimbia jukwaa... mpaka sasa ni mzunguko wa pili mashabiki wa mnyama wakiongezeka kwa kasi jukwaani.. huku ndala zikiendelea kukatika kila kukicha
 
Umeangalia mpira au umehadithiwa?Pressure unayoisema ilitoka wapi?Timu moja ilikuwa inacheza mpira na nyingine ina defend. Agyei amedaka mipira ya hatari mingapi?Nikumbushe raundi ya kwanza mliwafunga ngapi Ruvu Shooting goli 7?
Hakuna shambulizi la maana zaidi ya vishuti mtoto vya mbali. Mipango ya goli nil. Kama ni mtu wa mpira unaelewa ninachoongea ingawa ubishi ni jadi
 
Kwa hiyo wageni wamewekwa benchi kusudi? Soka bovu mno. Muda wote pressure juu kwa mikia fc. Kwa mwendo huu muda si mrefu mtalikimbia jukwaa.
Wewe sio uliowaita wenzako wapuuzi wanaotaraji kushinda kila mechi mlipotoa droo na African Lyon?Leo unashangaa timu kushinda goli 1?Wewe tukuite nani?
 
Huwezi kulinganisha na mechi ya jana Madeni FC na Ndanda FC ni upande mmoja tu unachezwa.. na si kawaida yao wanakuchele lazima kuna muamala fulani ulipitishwa..!
Tofauti ya ubora wa vikosi. Mikia mko hovyo kubalini tu. Wapi kichuya, mavugo, luizao, et al?
 
Huyo unayesema ni mbovu anaongoza kwa tofauti ya pointi 4.Ulishindwa kumfunga mkiwa 11 kwa 10 pamoja na kubebwa. Sasa sijui nani mbovu nani mzima?Alifunga goli la halali refa akakataa. Mkacheza chaneta akakubali. Refa na kibendera kufungiwa miaka 2 bado una uso wa kusema kitu?
 
Back
Top Bottom