sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
- Thread starter
- #41
Kuna kundi moja la wachache kama Makoye Matale washaelewa Mnyama anadhamira gani msimu huu.. ila kuna kundi la wengi linaloongozwa na Sibonike ndo wamejitoa ufahamu, na hawa wataamini pale tutakapowaacha gepu la zaidi ya pointi 10 alafu zimebaki mechi 3 ligi iisheNadhani Kandambili hawaelewi kabisa.