Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Wana JF tulindeni heshima ya jamvi. Naelewa kuna baadhi ya majibu yanayoidhi wengine. Nawasihi wenye majibu kama hayo wajiziwie kuyatoa, na nawasihi pia wanaohisi wameudhiwa na majibu aina hiyo nao wawatukane wajibuji wao kimoyomoyo. Tusipochunga tataishia kuliko lilivyokuwa Bunge Maalum la Katiba!
Ushauri mzuri sana mkuu. Tatizo ni kuna wachache wanaona wana birth right ya kutukana wenzao na wao wasitukanwe.Unapojadili mada wanakuja na lugha zao za matusi wakijibiwa ndio wana play role ya victim. Unapowasha moto at least uwe na uwezo wa kuhimili joto lake.Ustaarabu huzaa ustaarabu. Ukija na ujahilia utakuwa treated as jahili.
 
Mkuu, hakuna anayebisha kuhusu msimamo wa ligi. Mnyama anaongoza kwa point nne. Tunasema tu ligi bado.
It is not done until its done!

Hapa Ndiyo Mashabiki Wa CHANETA FC munapojichanganya....
Round Ya Kwanza Nzima Muliweweseka Kuwa Simba Baiskeli Ya Miti Karibu Atawapisha Kwenye Nafasi Yenu! Lakini ikashindikana....

Sasa Jiulize Kuwa → Roundi Ya Kwanza ilianza Simba Akiwa na Points 00 na Yanga Akiwa na Points 00 Kwa Maana Walikuwa Sawa Lakini Yanga Kashindwa Kumuondosha Simba Kileleni!!!!! Je Yanga Huyo Ataweza Kumuondosha Simba Kileleni Anaeianza Round Ya Pili Kwa Points 4?????

Au Ndiyo Munazidi Kujijengea FALSE HOPE kwa TOTO na YANGA kuwa Ndiyo Points 6 atakazopoteza Simba?
 
Wana JF tulindeni heshima ya jamvi. Naelewa kuna baadhi ya majibu yanayoidhi wengine. Nawasihi wenye majibu kama hayo wajiziwie kuyatoa, na nawasihi pia wanaohisi wameudhiwa na majibu aina hiyo nao wawatukane wajibuji wao kimoyomoyo. Tusipochunga tataishia kuliko lilivyokuwa Bunge Maalum la Katiba!
Safi sana.. Lakini kwenu kwanini wachezaji watano wamekalia kuti kavu.? yaani mechi na African lion imewapagawishe kiasi hiki, je ukikutana na Mnyama round ya lala salama si utafukuza timu mzima.
 
Naongea kweli! Simba tuna mapungufu kwenye no 8&9.Ila idara zingine tuko sawa.Yanga kwa sasa bila Niyonzima kucheza pale kati hawana lolote.Pia yanga beki ni wabovu sana.Hivyo pindi tutakapo kutana kina Ngoma,Tambwe na Msuva itakua vigumu kuuona mpira isipokua zipigwe counter tu.Kamsoko kwa sasa is nothing.
 
Mkuu unajua Mnyama mkali huwa watu wanapagawa wakiona yuko kileleni

Hana haja ya kutumia fedha nyingi kwa wachezaji kusajili, lakini angalia mfano Chirwa 200ml na huku wanatamani wawachukue kila mchezaji wa Simba

Hapa Tanzania vyuo vya Soka ni viwili tu ni Simba SC na Mtibwa

Juzi juzi hapa.. Tumepokea wahitimu waliofuzu vyema toka Simba B ambao wametoka kuchukua ubingwa wa kombe la U-20 kwa style.. Hii ni hazina kubwa sana kwa sasa na baadae. Yanga na Azam karibuni sokoni.
 
Safi sana.. Lakini kwenu kwanini wachezaji watano wamekalia kuti kavu.? yaani mechi na African lion imewapagawishe kiasi hiki, je ukikutana na Mnyama round ya lala salama si utafukuza timu mzima.
Usijali mkuu, akushindaye kwa tonge mshinde kwa kutowea! Leo Kamati ya Saa 72 inatuongezea pointi zetu mbili dhidi ya Leone nanyi mnanyan'ganywa tatu dhidi ya Ndanda. Kuanzia hapo tutaongoza ligi na waliopagawa wote watarudi kwenye hali zao. Vipi, utakuja Kombe la Mapinduzi? Ukija tafadhali nitafute.
 
Yanga bila ya kubadili mfumo wajiandae kuhonga ndio wamfunge simba.Japo kichuya hafanyi vizuri mda huu si mtu wakudharau.Niseme tu bila unazi.Yanga ina washambuliaji wazuri ila wanahitaji kulishwa.Yanga ikikutana na timu inayoweza kuvunja muunganiko wa Niiyonzima na huyo sijui Umeme inapuputika kama maua.Ndivyo ilivyowatokea walipokutana na stend.The same will happen kwa Mbao,mtibwa na Stend kwa round hii.Mark my words.
 
Usijali mkuu, akushindaye kwa tonge mshinde kwa kutowea! Leo Kamati ya Saa 72 inatuongezea pointi zetu mbili dhidi ya Leone nanyi mnanyan'ganywa tatu dhidi ya Ndanda. Kuanzia hapo tutaongoza ligi na waliopagawa wote watarudi kwenye hali zao. Vipi, utakuja Kombe la Mapinduzi? Ukija tafadhali nitafute.
Mtani mpira umewashinda mmerudi mezani. Tuanze ligi sawa kwa pointi za mezani?Tonge limewashinda mnakimblia kumaliza mboga. Kweli upinzani umewashinda.
 
Juzi juzi hapa.. Tumepokea wahitimu waliofuzu vyema toka Simba B ambao wametoka kuchukua ubingwa wa kombe la U-20 kwa style.. Hii ni hazina kubwa sana kwa sasa na baadae. Yanga na Azam karibuni sokoni.
Waje wanunue kwa mujibu wa sheria za soka zinavyotaka si figisu za akina Yondani na Kessy na Messi

Simba SC haina ujuha wa kumbania mchezaji akihitajika
 
Usijali mkuu, akushindaye kwa tonge mshinde kwa kutowea! Leo Kamati ya Saa 72 inatuongezea pointi zetu mbili dhidi ya Leone nanyi mnanyan'ganywa tatu dhidi ya Ndanda. Kuanzia hapo tutaongoza ligi na waliopagawa wote watarudi kwenye hali zao. Vipi, utakuja Kombe la Mapinduzi? Ukija tafadhali nitafute.

Kiongozi, post yako hii inadhirihirisha unyonge na kukata tamaa kwako na pengine timu yako. Kusubiri pointi za rufaa a.k.a mbeleko kutoka timu kama African Lyon ni dhihirisho la kuonyesha mmeshakubali matokeo. Hata hivyo kila heri
 
Hapa Ndiyo Mashabiki Wa CHANETA FC munapojichanganya....
Round Ya Kwanza Nzima Muliweweseka Kuwa Simba Baiskeli Ya Miti Karibu Atawapisha Kwenye Nafasi Yenu! Lakini ikashindikana....

Sasa Jiulize Kuwa → Roundi Ya Kwanza ilianza Simba Akiwa na Points 00 na Yanga Akiwa na Points 00 Kwa Maana Walikuwa Sawa Lakini Yanga Kashindwa Kumuondosha Simba Kileleni!!!!! Je Yanga Huyo Ataweza Kumuondosha Simba Kileleni Anaeianza Round Ya Pili Kwa Points 4?????

Au Ndiyo Munaziji Kujijengea FALSE HOPE kwa TOTO na YANGA kuwa Ndiyo Points 6 atakazopoteza Simba?
Vingenevyo ligi ingesimamishwa na mnyama apewe ubingwa.

Maneno ya ushabiki kando, ngoma bado mbichi. That is the point. Mnaweza kuwa na point 9 juu huku ikiwa imebaki michezo mitatu ligi iishe na lolote likatokea. Ndiyo mpira wenyewe. Chelsea anaongoza EPL tena kwa point 6 lakini wametulia wakijua lolote laweza kutokea kwenye mpira.

Narudia, kuongoza ligi si kuchukua ubingwa. Its not done until its done!
 
Huna groap la michezo la WhatsApp
 
Usijali mkuu, akushindaye kwa tonge mshinde kwa kutowea! Leo Kamati ya Saa 72 inatuongezea pointi zetu mbili dhidi ya Leone nanyi mnanyan'ganywa tatu dhidi ya Ndanda. Kuanzia hapo tutaongoza ligi na waliopagawa wote watarudi kwenye hali zao. Vipi, utakuja Kombe la Mapinduzi? Ukija tafadhali nitafute.
Mkuu mwaka huu mbeleko hakuna na ikitokea point za mezani basi wewe utaathirika mno kuhusu Kessy na vibali vya Makocha

Cheza mpira acha ndoto..utapoteza muda
 
Juzi juzi hapa.. Tumepokea wahitimu waliofuzu vyema toka Simba B ambao wametoka kuchukua ubingwa wa kombe la U-20 kwa style.. Hii ni hazina kubwa sana kwa sasa na baadae. Yanga na Azam karibuni sokoni.
Umesema ukweli - karibuni sokoni. Twaja. Mnayama atakuwa feeder club.
 
Sibonike hivi yule edibily jonas lunyamila mpya Mwashiuya kaishia wapi?
 
Back
Top Bottom