Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Kijiweni na Mashabiki wa Ndala

Sibonike hivi yule edibily jonas lunyamila mpya Mwashiuya kaishia wapi?
Mkimtaka kwa mkopo, mseme tu. Sasa kaja kijana toka JKU. Ushindani umekuwa mkubwa zaidi.

Kikubwa zaidi tunaangalia nani tumchukue toka kwenu msimu ujao.
 
Haha.. Huyu kijana mmepotezea kabisa muelekeo.. 2018 namuona akicheza Maji Maji au anarudi kustaafu soka nyumbani kwao Kimondo FC.
Nadhani sasa anawatamani sana kina Kichuya.. Mwashiuya amekua darasa kubwa sana kwa vijana wengi.. ndo mana sasa hivi wote wanamiminika msimbazi.

Pia nasikia baada ya kuona usajiri wa Farid Mussa, kwenda Tenerife unasua sua, mlimfuata na kutaka kumrubuni lakini akawapiga chini.. hii habari ilinifurahisha sana. Maana mlitaka kutupotezea tena kipaji kingine. Hii habari inaonesha ni kwa jinsi gani vijana wanavyosanuka sasa juu ya Yanga.
 
Hamna jaman ma group ya michezo WhatsApp No: 0767344840
 
Bado upo shule?Makosa ya kiuandishi unayoyafanya ni ya kitoto hasa.
Unganyamaza????
Kilugha kinanipa tabu. Unataka kuandika nini?
Mkuu Ngama umekua sasa, bado una_mind typing errors? Hapa hatuangalii mtu amechapaje kwenye keyboard, cha msingi angalia hoja iliyotolewa.
 
Naona Mkuu umerukia mada katikati bila ya kufuatilia mtiririko wa mada yenyewe. Au ulikuwa una hoja nyingine?Kwa sababu nikikuuliza kwanini nimemqoute hivyo sijui utajibu nini?Wacha generalisation "hatuangalii" wewe na nani?Kila mtu ana haki ya kucomment bila kuvunja sheria zilizopo.
 
Ondoa fikra butu kichwani mwako Simba SC hata iwe na wachezaji pungufu, Mkodisho FC hawawezi kupata ushindi

Labda kwa msaada wa Martin Sanya, na mkono wa Netball uwanjani, bila shaka unalijua hilo

Tafakari..!
Bwana mdogo inaonekana hata wewe una fikra Butu! Unajua issue anayotaka kuifanya Manji kwa Yanga haina tofauti na issue anayotaka kuifanya Dewj kwa Simba, tofauti iliyopo nikwamba Manji anaitaka Yanga kwa miaka kadhaa ilihali Dewj mnayemuita MOOO anaitaka Simba kwa Miaka yote! Na Dewj si kwamba bilioni anazitaja kuinunua simba zitaingia mifukoni mwa wanachama wa Simba bali hizo hela zitaingia kwa accounti ya simba ambayo yeye ndo msemaji so fedha hizo ndizo zitakazoiendesha simba na sikwamba mtapewa mifukoni bwanamdogo! Vivyo hivyo kwa Yanga japo kwa Yanga kuna asilimia fulani itakuwa inaingia kwa club mama yaani Yanga!

Chamsingi issue ya kukodishwa ipo kwa timu zote ila kwa staili tofauti! Hivi tunashindwa kujiuliza kwamba mtu ukinunua pipi ile hela ulonunulia pipi inaenda kwa nani? Obviously kwa muuzaji sasa Simba inaponunuliwa hela za manunuzi zinaenda kwa nani jibu nikwa Dewj!
 
Naona Mkuu umerukia mada katikati bila ya kufuatilia mtiririko wa mada yenyewe. Au ulikuwa una hoja nyingine?Kwa sababu nikikuuliza kwanini nimemqoute hivyo sijui utajibu nini?Wacha generalisation "hatuangalii" wewe na nani?Kila mtu ana haki ya kucomment bila kuvunja sheria zilizopo.
'Hatuangalii' maana yake tuko wengi tunaosoma hizi comments, siyo huyo unayemjibu pekee.
 
Habari hii inahusiana vipi na ulicho kiquote.Kushiriki kwenye mada kugumu we kusikie tu.
 
Haha.. Huyu kijana mmepotezea kabisa muelekeo.. 2018 namuona akicheza Maji Maji au anarudi kustaafu soka nyumbani kwao Kimondo FC.
Nadhani sasa anawatamani sana kina Kichuya.. Mwashiuya amekua darasa kubwa sana kwa vijana wengi.. ndo mana sasa hivi wote wanamiminika msimbazi.

Pia nasikia baada ya kuona usajiri wa Farid Mussa, kwenda Tenerife unasua sua, mlimfuata na kutaka kumrubuni lakini akawapiga chini.. hii habari ilinifurahisha sana. Maana mlitaka kutupotezea tena kipaji kingine. Hii habari inaonesha ni kwa jinsi gani vijana wanavyosanuka sasa juu ya Yanga.
Vipi ya Mkude yamekaa saw a au bado kazima simu.
Uwezo wa kulea mnao. Feeder club. Baada ya hapo ni mtihani.
 
Mkataba upo tayari.. Makubaliano yapo tayari... Ni suala la kuweka dole gumba tu
 
Hao mnaosoma hizo comments mnakuwa na fikra sawa katika kuamua mchangiaji akosoe mnachotaka nyinyi na si vinginevyo. Hujui kwanini nilim qoute hivyo.Kwa hiyo wewe sio mtu sahihi kuniambia la kufanya.
 
Hamna jaman ma group ya michezo WhatsApp No: 0767344840
Mkuu unataka kutugonganisha kama mpira wa kona. Hapa tunatumia fake IDs, hilo unalijua fika. Unapotaka tujiunge kwenye makundi ya Whatsapp huoni kwamba tunafahamiana kiuhalisia? Unaweza ukafahamu kuwa kumbe mimi Makoye Matale ni jirani yake kabisa na Mkuu sembo lakini tukiwa hapa JF ni kurushiana madongo juu ya madongo!

Namsapoti Mkuu sembo, JF ni zaidi ya Whatsapp.
 
Hao mnaosoma hizo comments mnakuwa na fikra sawa katika kuamua mchangiaji akosoe mnachotaka nyinyi na si vinginevyo. Hujui kwanini nilim qoute hivyo.Kwa hiyo wewe sio mtu sahihi kuniambia la kufanya.
Mkuu imetosha! JF ni umoja, upendo na mshikamano.

Nakutakia heri ya mwaka mpya Mkuu.
 
Heri ya mwaka mpya kwako pia.Quote iliandikwa na mimi makusudi ili kupima kwamba hujali typing errors. Na mara zote umei mark.Tupo pamoja.
 
Bwana mdogo inaonekana hata wewe una fikra Butu! Unajua issue anayotaka kuifanya Manji kwa Yanga haina tofauti na issue anayotaka kuifanya Dewj kwa Simba, tofauti iliyopo nikwamba Manji anaitaka Yanga kwa miaka kadhaa ilihali Dewj mnayemuita MOOO anaitaka Simba kwa Miaka yote! Na Dewj si kwamba bilioni anazitaja kuinunua simba zitaingia mifukoni mwa wanachama wa Simba bali hizo hela zitaingia kwa accounti ya simba ambayo yeye ndo msemaji so fedha hizo ndizo zitakazoiendesha simba na sikwamba mtapewa mifukoni bwanamdogo! Vivyo hivyo kwa Yanga japo kwa Yanga kuna asilimia fulani itakuwa inaingia kwa club mama yaani Yanga!

Chamsingi issue ya kukodishwa ipo kwa timu zote ila kwa staili tofauti! Hivi tunashindwa kujiuliza kwamba mtu ukinunua pipi ile hela ulonunulia pipi inaenda kwa nani? Obviously kwa muuzaji sasa Simba inaponunuliwa hela za manunuzi zinaenda kwa nani jibu nikwa Dewj!
Acha kuuaminisha umma na uongo..Mfumo wa uendeshaji kabla za soka duniani ni mitatu tu

1.Ni mfumo wa wanachama, kama ilivyo Simba SC na Yanga Afrika

2.Ni umiliki, kama ilivyo kwa Moise Katumbi na Mazembe au Abromovch kwa Chelsea

3.Ni mfumo wa hisa, kama Manchester United kwa wamarekani

Ukondishaji hakuna, na kama kuna timu inafanya hivyo lete ubaoni hapa na data zake.. mimi ntaomba ban ya wiki moja JF.
 
Mkuu wewe kweli mstaarabu. Hata mada zisizoeleweka unajaribu kujibu.Thumbs up Mkuu.
 
Back
Top Bottom