Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha.. Huyu kijana mmepotezea kabisa muelekeo.. 2018 namuona akicheza Maji Maji au anarudi kustaafu soka nyumbani kwao Kimondo FC.Mkimtaka kwa mkopo, mseme tu. Sasa kaja kijana toka JKU. Ushindani umekuwa mkubwa zaidi.
Kikubwa zaidi tunaangalia nani tumchukue toka kwenu msimu ujao.
Hamna jaman ma group ya michezo WhatsApp No: 0767344840Haha.. Huyu kijana mmepotezea kabisa muelekeo.. 2018 namuona akicheza Maji Maji au anarudi kustaafu soka nyumbani kwao Kimondo FC.
Nadhani sasa anawatamani sana kina Kichuya.. Mwashiuya amekua darasa kubwa sana kwa vijana wengi.. ndo mana sasa hivi wote wanamiminika msimbazi.
Pia nasikia baada ya kuona usajiri wa Farid Mussa, kwenda Tenerife unasua sua, mlimfuata na kutaka kumrubuni lakini akawapiga chini.. hii habari ilinifurahisha sana. Maana mlitaka kutupotezea tena kipaji kingine. Hii habari inaonesha ni kwa jinsi gani vijana wanavyosanuka sasa juu ya Yanga.
KumbeMkuu.. mimi sipo katika group lolote maana naamini jamiiforums ni zaidi ya group.
Mkuu Ngama umekua sasa, bado una_mind typing errors? Hapa hatuangalii mtu amechapaje kwenye keyboard, cha msingi angalia hoja iliyotolewa.Bado upo shule?Makosa ya kiuandishi unayoyafanya ni ya kitoto hasa.
Unganyamaza????
Kilugha kinanipa tabu. Unataka kuandika nini?
Naona Mkuu umerukia mada katikati bila ya kufuatilia mtiririko wa mada yenyewe. Au ulikuwa una hoja nyingine?Kwa sababu nikikuuliza kwanini nimemqoute hivyo sijui utajibu nini?Wacha generalisation "hatuangalii" wewe na nani?Kila mtu ana haki ya kucomment bila kuvunja sheria zilizopo.Mkuu Ngama umekua sasa, bado una_mind typing errors? Hapa hatuangalii mtu amechapaje kwenye keyboard, cha msingi angalia hoja iliyotolewa.
Bwana mdogo inaonekana hata wewe una fikra Butu! Unajua issue anayotaka kuifanya Manji kwa Yanga haina tofauti na issue anayotaka kuifanya Dewj kwa Simba, tofauti iliyopo nikwamba Manji anaitaka Yanga kwa miaka kadhaa ilihali Dewj mnayemuita MOOO anaitaka Simba kwa Miaka yote! Na Dewj si kwamba bilioni anazitaja kuinunua simba zitaingia mifukoni mwa wanachama wa Simba bali hizo hela zitaingia kwa accounti ya simba ambayo yeye ndo msemaji so fedha hizo ndizo zitakazoiendesha simba na sikwamba mtapewa mifukoni bwanamdogo! Vivyo hivyo kwa Yanga japo kwa Yanga kuna asilimia fulani itakuwa inaingia kwa club mama yaani Yanga!Ondoa fikra butu kichwani mwako Simba SC hata iwe na wachezaji pungufu, Mkodisho FC hawawezi kupata ushindi
Labda kwa msaada wa Martin Sanya, na mkono wa Netball uwanjani, bila shaka unalijua hilo
Tafakari..!
'Hatuangalii' maana yake tuko wengi tunaosoma hizi comments, siyo huyo unayemjibu pekee.Naona Mkuu umerukia mada katikati bila ya kufuatilia mtiririko wa mada yenyewe. Au ulikuwa una hoja nyingine?Kwa sababu nikikuuliza kwanini nimemqoute hivyo sijui utajibu nini?Wacha generalisation "hatuangalii" wewe na nani?Kila mtu ana haki ya kucomment bila kuvunja sheria zilizopo.
Vipi ya Mkude yamekaa saw a au bado kazima simu.Haha.. Huyu kijana mmepotezea kabisa muelekeo.. 2018 namuona akicheza Maji Maji au anarudi kustaafu soka nyumbani kwao Kimondo FC.
Nadhani sasa anawatamani sana kina Kichuya.. Mwashiuya amekua darasa kubwa sana kwa vijana wengi.. ndo mana sasa hivi wote wanamiminika msimbazi.
Pia nasikia baada ya kuona usajiri wa Farid Mussa, kwenda Tenerife unasua sua, mlimfuata na kutaka kumrubuni lakini akawapiga chini.. hii habari ilinifurahisha sana. Maana mlitaka kutupotezea tena kipaji kingine. Hii habari inaonesha ni kwa jinsi gani vijana wanavyosanuka sasa juu ya Yanga.
Ni kweli kabisa, uko sahihi Mkuu.Habari hii inahusiana vipi na ulicho kiqoute.Kushiriki kwenye mada kugumu we kusikie tu.
Mkuu unataka kutugonganisha kama mpira wa kona. Hapa tunatumia fake IDs, hilo unalijua fika. Unapotaka tujiunge kwenye makundi ya Whatsapp huoni kwamba tunafahamiana kiuhalisia? Unaweza ukafahamu kuwa kumbe mimi Makoye Matale ni jirani yake kabisa na Mkuu sembo lakini tukiwa hapa JF ni kurushiana madongo juu ya madongo!Hamna jaman ma group ya michezo WhatsApp No: 0767344840
Mkuu imetosha! JF ni umoja, upendo na mshikamano.Hao mnaosoma hizo comments mnakuwa na fikra sawa katika kuamua mchangiaji akosoe mnachotaka nyinyi na si vinginevyo. Hujui kwanini nilim qoute hivyo.Kwa hiyo wewe sio mtu sahihi kuniambia la kufanya.
Acha kuuaminisha umma na uongo..Mfumo wa uendeshaji kabla za soka duniani ni mitatu tuBwana mdogo inaonekana hata wewe una fikra Butu! Unajua issue anayotaka kuifanya Manji kwa Yanga haina tofauti na issue anayotaka kuifanya Dewj kwa Simba, tofauti iliyopo nikwamba Manji anaitaka Yanga kwa miaka kadhaa ilihali Dewj mnayemuita MOOO anaitaka Simba kwa Miaka yote! Na Dewj si kwamba bilioni anazitaja kuinunua simba zitaingia mifukoni mwa wanachama wa Simba bali hizo hela zitaingia kwa accounti ya simba ambayo yeye ndo msemaji so fedha hizo ndizo zitakazoiendesha simba na sikwamba mtapewa mifukoni bwanamdogo! Vivyo hivyo kwa Yanga japo kwa Yanga kuna asilimia fulani itakuwa inaingia kwa club mama yaani Yanga!
Chamsingi issue ya kukodishwa ipo kwa timu zote ila kwa staili tofauti! Hivi tunashindwa kujiuliza kwamba mtu ukinunua pipi ile hela ulonunulia pipi inaenda kwa nani? Obviously kwa muuzaji sasa Simba inaponunuliwa hela za manunuzi zinaenda kwa nani jibu nikwa Dewj!
Mkuu wewe kweli mstaarabu. Hata mada zisizoeleweka unajaribu kujibu.Thumbs up Mkuu.Acha kuuaminisha umma na uongo..Mfumo wa uendeshaji kabla za soka duniani ni mitatu tu
1.Ni mfumo wa wanachama, kama ilivyo Simba SC na Yanga Afrika
2.Ni umiliki, kama ilivyo kwa Moise Katumbi na Mazembe au Abromovch kwa Chelsea
3.Ni mfumo wa hisa, kama Manchester United kwa wamarekani
Ukondishaji hakuna, na kama kuna timu inafanya hivyo lete ubaoni hapa na data zake.. mimi ntaomba ban ya wiki moja JF.