Kijora ni vazi la aina gani na watu gani?

Kijora ni vazi la aina gani na watu gani?

Mtu unaweza cheka kama ni mazuri vile ..
Mimi huwa nasikitika tu kwasabu mtoto akiona hivo kesho na yeye ataenda kujaribu na mtoto mwenzake na hivo kuzalisha kizazi cha ovyo zaidi
 
Mnunulie kijora uburudike 😂
Hapendelei mambo hizo kabisa yf. Na imagine tunaishi kwenye jamii hiz hiz za kizaramo, ila yeye hayo mambonya mashuhuri hutakaa umuone. Sijui ma sare na mavitu hayo walaaah!!
 
Mtuzungumzia msambwanda, ndembendembe n.k ila K ni K na itabaki kuwa K.

Chezea K wewe!
 
Hili vazi la kijora ambalo huwa linazungumziwa sana na waswahili na watu wa pwani ni vazi la aina gani?

Kijora kina utofauti gani na vazi la dera?

Kijora kinavaliwa na watu wa aina gani zaidi?
Kijora ni kipochi manyoya mkuu
 
Back
Top Bottom