Kinachonishangazaga unakuta mwanamke ana mtoto wake hapo hapo anaanza kukata mauno kwa wanaume wanabambia yaani daah
Mtu unaweza cheka kama ni mazuri vile ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachonishangazaga unakuta mwanamke ana mtoto wake hapo hapo anaanza kukata mauno kwa wanaume wanabambia yaani daah
Mimi huwa nasikitika tu kwasabu mtoto akiona hivo kesho na yeye ataenda kujaribu na mtoto mwenzake na hivo kuzalisha kizazi cha ovyo zaidiMtu unaweza cheka kama ni mazuri vile ..
Kuna mheshimiwa Alikuwa akigalagala kwa mkao Kama huyu wa Kwanza kulia hapo.View attachment 3122759
Vijora ndio hivyo na wavaa jirora ndio hao......
Mie nazipenda japo sina huwa nazipenda sana siku nkiibuka kariakoo nijipatie vijora pambe vitano hivi vya kupungia upepo.....Hazipendagi kabisaaa
Tako liwepo sasa, sio uvae kijora af kiwe kama kimetundikwa kwenye "henga"Mie nazipenda japo sina huwa nazipenda sana siku nkiibuka kariakoo nijipatie vijora pambe vitano hivi vya kupungia upepo.....
Wanaangalia shoo liveView attachment 3122759
Vijora ndio hivyo na wavaa jirora ndio hao......
Hapendelei mambo hizo kabisa yf. Na imagine tunaishi kwenye jamii hiz hiz za kizaramo, ila yeye hayo mambonya mashuhuri hutakaa umuone. Sijui ma sare na mavitu hayo walaaah!!Mnunulie kijora uburudike 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kijora ni dera ambalo halija-graduate
Naomba nikununulie wewe ChujioMnunulie kijora uburudike 😂
Wapi hii nihamie ukoView attachment 3122759
Vijora ndio hivyo na wavaa jirora ndio hao......
Kijora ni kipochi manyoya mkuuHili vazi la kijora ambalo huwa linazungumziwa sana na waswahili na watu wa pwani ni vazi la aina gani?
Kijora kina utofauti gani na vazi la dera?
Kijora kinavaliwa na watu wa aina gani zaidi?
Bas sawa. Acha nifanye hivyoKaribu..haya ndio mambo ninayopenda