Kijue kisiwa cha Mnemba, kilichopo Zanzibar, kinachodaiwa kumilikiwa na Bill Gate

Huyo jamaa anasema kisiwa cha kawaida?

Mtahadharishe kama anapesa za mawazo asiefikirie kwenda. Lazima ajipange.
Haha hahah anadhani Mnemba ni sawa na vigesti alivyovizoea kwao Tandale
 

Ngoja kwanza Chief
Dola 1600 kwa usiku mmoja ni kwa pesa yetu ni Tsh. 3,680,000.00 ukilipa kwa siku saba ni Tsh. 25,760,000.00

Yaani kwa kiswahili usiku mmoja ni milioni tatu na laki sita, alafu hizo siku saba unatakiwa kulipia milioni ishirini na tano na laki saba na elfu sitini.

Bado mambo mengine madogo madogo

Si hela ya kikokotoo kabisa hiyo[emoji23][emoji23]
 
Ardhi ni mali ya JMT sasa inakuwaje Gates anakimiliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…