Kijue kisiwa cha Mnemba, kilichopo Zanzibar, kinachodaiwa kumilikiwa na Bill Gate

Hakuna picha tuone
 
Huko ndiko pa kwenda kula raha
Siyo mnajazana tu Beach kidimbwi

Ova
 
Huko wanakaa akina Ndugai madalali wa nchi hii, Andrew Chenge mzee wa vijisenti,Tibaijuka mama wa pesa ya mboga.
 
Ardhi ni mali ya JMT sasa inakuwaje Gates anakimiliki?

Masikini nchi yangu
Haki hakuna kabisa, Diaspora aliezaliwa Tz na wazazi bado wapo ila akirudi kujenga Lukuvi anamwambia huna haki hapa
Ila mzungu anapewa tena na bags zake anambebea
Utumwa hautaisha
 
Sio Cha Gates...

Wamiliki wapo ...

Hapa hapa..
 
Mkumbushe awe amechanjwa Covid
 
Watu wanapenda ufree hatari, kuna wafanyakazi watz huko?
Kama ni shoga unaweza kupata kazi ila uwe mrembo nchi imepigwa mnada siku nyingi na inaendelea kupigwa mnada
 
Thanda Island kule Mafia ndo mwisho wa maneno, kinamilikiwa na matajiri wa Kiswedeni, exclusive luxury for the Super Rich

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…