mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Mbona umebadilisha mada? Ulisema kakosea timing coz kuna ngoma nyingi zimetoka, na hautoweza kutaja angalau moja iliyoyoka kipindi hiki iliyotrend zaidi yake! Sasa unasema kakopy bila kuitaja hiyo ngoma aliyoikopy, unaishia kusema ya kcee aliyoitoa cjui mwaka gani!! Si uingie youtube uweke link.Inafanya vizuli kwenye na Je unajua kama hiyo ngoma ya mery me ni copy ya ngoma ya kcee iliyo toka mwaka 2014
Huo nadhani utakuwa ni utafiti wa Twaweza.Hakuna ndoma ya Africa inayofanya vizuri kwa sasa zaidi ya marry you kuanzia Nigeria, south Africa, Zambia, Zimbabwe, Ghana, Uganda hadi Kenya, pamoja UK, Fanya utafiti
Sijui nisemeje,heshima kwako mkuu.Alikiba vs wcb (Diamond, rayvan, harmorapa tholliii harmonaiz, richard, queen darlin)...yaani timu nzima inashindana na mtu mmoja na anawatoa jasho...aisee muwe na hata ka aibu kidogo
Mkuu hawa wamezoea video zenye mimwanga ya kung'aa kama series za kikorea......waangalie Hello ya Adele rangi ya video yake na kabeba grammy za kutosha
Sikulazimishi, ila kama unaweza fuatilia media za hizo nchi,Huo nadhani utakuwa ni utafiti wa Twaweza.
ulikuwepo anavyopata hizo simu/ mbona watu mnapenda sana kujibebesha majukumu yasokuwa yenu au wewe ni Babu Tale au ZaliSikulazimishi, ila kama unaweza fuatilia media za hizo nchi,
Tangu marry you imetoka diamond ameshapata simu za booking Senegal,nigar , botswana, Ghana na cameroon.
Kijana amebanwa na ratiba kuanzia mwezi march na April ana Fanya tour ya UK na Neyo
Usilolijua in kama usiku wa gizaulikuwepo anavyopata hizo simu/ mbona watu mnapenda sana kujibebesha majukumu yasokuwa yenu au wewe ni Babu Tale au Zali
Ngoja nikupe na hii exclusive, unamfahamu Burna boy? Ni mkali wa dancehall nigeria, unamjua shatta wale wa ghana? Huyu nae in Fundi wa dance hallulikuwepo anavyopata hizo simu/ mbona watu mnapenda sana kujibebesha majukumu yasokuwa yenu au wewe ni Babu Tale au Zali
Unaonekana unafatiliaga sana video za upande wa pili mpk ushazikallAje remix aisee ni hatari tupu ushabiki pembeni ukweli uwekwe wazi...
Yani no magari yaliyopaki, no masofa na vitanda vya mahotel na apartment vyenye shuka nyeupe, no ma champgne, no ma models wengi yani ya kitofauti.
Mimi nimeipenda hata kijuso sijaitazama coz wimbo wa kijuso wenyewe sikuwahi kuupenda.
Hahaha atakuwa anasema ukali wa kucopy na kupasteUnaonekana unafatiliaga sana video za upande wa pili mpk ushazikall
sio 'mery me' mkuu ni marry you, usiharibu title ya wimbo, watu watashindwa kuipata wakiitafuta online...Inafanya vizuli kwenye na Je unajua kama hiyo ngoma ya mery me ni copy ya ngoma ya kcee iliyo toka mwaka 2014
Wewe ndo unamakengeza nenda kaangalie tenawe jamaa muongo sana video ya Ed sheeran na Aje remix ni video mbili tofauti sana labda kama unamakengeza kuangalia halafu hebu tambua kitu kimoja mtu unaweza kuandika thesis katika title ambayo tayariishafanywa ila maudhui yenu yakawa tofauti kabisa na huwezi ukakamatwa eti umeiga thesis ya mwenzaki kisa tu title zinafanana ndo nawewe unataka ulazimishe hizo video mbili zinafanana sasa lakini ni tofauti sana
kwa sasa mimi ni team ben paul au navy kenzo....wengne wanazingua...mara kijuso. ....mara lupela....hivi hawa viumbe wanalewa sifa au?Wakuu leo video ya aje remix ya ali kiba na video ya wimbo wa kijuso uliotoka kwa vichwa machachali wa WCB queen darlin na rayvann zimeachiwa kwa pamoja
Bila kumumunya maneno hawa madogo video yao kali mara 10 ya video ya aje ya ali kibakuli
Kwa ushauri tu,huyu jamaa bhana bora a base na audio tu video ana haribu kichizi hawezi yani wala hapendezi hata kidogo kwa kifupi hana muonekano mzuri wa kutokea kwenye video
Video awaachie wanaoweza ,yeye awe mpole tu
Tchaooooo
Mara Marry you, wanazingua sanakwa sasa mimi ni team ben paul au navy kenzo....wengne wanazingua...mara kijuso. ....mara lupela....hivi hawa viumbe wanalewa sifa au?
hawa jamaa sijui wanakula maharage ya wap...nyimbo mbaya...wanaisifia.....tu...ovyo...ovyo.....watu waachie ngoma kali....tutawaelewaMara Marry you, wanazingua sana
Kali kama ipi unayotaka wwhawa jamaa sijui wanakula maharage ya wap...nyimbo mbaya...wanaisifia.....tu...ovyo...ovyo.....watu waachie ngoma kali....tutawaelewa
Aje cover by king kibaKali kama ipi unayotaka ww
Aje ni mbaya kama magoti yako