Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Inafanya vizuli kwenye na Je unajua kama hiyo ngoma ya mery me ni copy ya ngoma ya kcee iliyo toka mwaka 2014
Mbona umebadilisha mada? Ulisema kakosea timing coz kuna ngoma nyingi zimetoka, na hautoweza kutaja angalau moja iliyoyoka kipindi hiki iliyotrend zaidi yake! Sasa unasema kakopy bila kuitaja hiyo ngoma aliyoikopy, unaishia kusema ya kcee aliyoitoa cjui mwaka gani!! Si uingie youtube uweke link.
 
Hakuna ndoma ya Africa inayofanya vizuri kwa sasa zaidi ya marry you kuanzia Nigeria, south Africa, Zambia, Zimbabwe, Ghana, Uganda hadi Kenya, pamoja UK, Fanya utafiti
Huo nadhani utakuwa ni utafiti wa Twaweza.
 
Alikiba vs wcb (Diamond, rayvan, harmorapa tholliii harmonaiz, richard, queen darlin)...yaani timu nzima inashindana na mtu mmoja na anawatoa jasho...aisee muwe na hata ka aibu kidogo
Sijui nisemeje,heshima kwako mkuu.
Mkuu hawa wamezoea video zenye mimwanga ya kung'aa kama series za kikorea......waangalie Hello ya Adele rangi ya video yake na kabeba grammy za kutosha
 
Sikulazimishi, ila kama unaweza fuatilia media za hizo nchi,
Tangu marry you imetoka diamond ameshapata simu za booking Senegal,nigar , botswana, Ghana na cameroon.
Kijana amebanwa na ratiba kuanzia mwezi march na April ana Fanya tour ya UK na Neyo
ulikuwepo anavyopata hizo simu/ mbona watu mnapenda sana kujibebesha majukumu yasokuwa yenu au wewe ni Babu Tale au Zali
 
ulikuwepo anavyopata hizo simu/ mbona watu mnapenda sana kujibebesha majukumu yasokuwa yenu au wewe ni Babu Tale au Zali
Ngoja nikupe na hii exclusive, unamfahamu Burna boy? Ni mkali wa dancehall nigeria, unamjua shatta wale wa ghana? Huyu nae in Fundi wa dance hall
Kwa taarifa yako Burna boy amegoma kutoa ngoma waliomshirikisha diamond mpaka wafanye video, na diamond ndo anasubiriwa kuweka ratiba zake sawa.
Soon utaisikia na kuiona
Burna boy ft shatta wale & diamond platnumz
Jaribu kufikiri ubora wa hiyo kazi
 
Unajua mi bado cjaelewa ni ipi ilikuwa remix kati hii ya sasa na ile ya mwanzo, maana ukivuta kumbukumbu vizuri hii Aje alomshirikisha M.I ndo ilkuwa ya kwanza kutoka, na kwenye video yake ya kwanza tulitegemea kumuona huyo M.I , lakini cha ajabu tukaona ngoma kairemix kwa kuingiza lugha ya kifaransa katika verse ya M.I, leo tena tunaletewa aje Remix ambayo ndo ilikuwa original ktk first version tn kibaya hata hii huyo M.I pia hayumo,cjui wanapishana wapi na huyu jamaa aise....au mi ndo najichanganya wadau?
 
Aje remix aisee ni hatari tupu ushabiki pembeni ukweli uwekwe wazi...
Yani no magari yaliyopaki, no masofa na vitanda vya mahotel na apartment vyenye shuka nyeupe, no ma champgne, no ma models wengi yani ya kitofauti.
Mimi nimeipenda hata kijuso sijaitazama coz wimbo wa kijuso wenyewe sikuwahi kuupenda.
Unaonekana unafatiliaga sana video za upande wa pili mpk ushazikall
 
Unaonekana unafatiliaga sana video za upande wa pili mpk ushazikall
Hahaha atakuwa anasema ukali wa kucopy na kupaste
C44k7y_UkAI_Ofz.jpg
 
we jamaa muongo sana video ya Ed sheeran na Aje remix ni video mbili tofauti sana labda kama unamakengeza kuangalia halafu hebu tambua kitu kimoja mtu unaweza kuandika thesis katika title ambayo tayariishafanywa ila maudhui yenu yakawa tofauti kabisa na huwezi ukakamatwa eti umeiga thesis ya mwenzaki kisa tu title zinafanana ndo nawewe unataka ulazimishe hizo video mbili zinafanana sasa lakini ni tofauti sana
Wewe ndo unamakengeza nenda kaangalie tena
C44k7y_UkAI_Ofz.jpg
 
Wakuu leo video ya aje remix ya ali kiba na video ya wimbo wa kijuso uliotoka kwa vichwa machachali wa WCB queen darlin na rayvann zimeachiwa kwa pamoja



Bila kumumunya maneno hawa madogo video yao kali mara 10 ya video ya aje ya ali kibakuli

Kwa ushauri tu,huyu jamaa bhana bora a base na audio tu video ana haribu kichizi hawezi yani wala hapendezi hata kidogo kwa kifupi hana muonekano mzuri wa kutokea kwenye video


Video awaachie wanaoweza ,yeye awe mpole tu



Tchaooooo
kwa sasa mimi ni team ben paul au navy kenzo....wengne wanazingua...mara kijuso. ....mara lupela....hivi hawa viumbe wanalewa sifa au?
 
Aje ni mbaya kama magoti yako

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]haya ndiyo mapovu niliokuwa nayataka inaonyesha hasira zako ningekuwa karibu ungenitemea cheche [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafurahi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom