Kikaangoni: Utapeli wa BSS ya Madam Rita, washindi wa nyuma nao wafuatiliwe

Kikaangoni: Utapeli wa BSS ya Madam Rita, washindi wa nyuma nao wafuatiliwe

Ana kipi cha kumfungia huyo labda wamfunge yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
Basata hawatumii common sense kabisa, sasa unamfungia Mtu ambae hafanyi chotechote cha maana kwa hiyo sanaa yake.

Mtu atakayeumia kwa kufungiwa ni kama kina Mondi, Kiba, Harmonize n.k.

Huyu walipaswa kumfungia line za simu anayotumia, na kuhakikisha line yoyote itakayotumia kupostia upuuzi wake muhusika wake anawajibishwa.
 
Leo nimeona madam ritta anafanya uzinduzi wa bss 2020 je walishamalizana na meshaki au bado
 
Back
Top Bottom