Kikaangoni: Utapeli wa BSS ya Madam Rita, washindi wa nyuma nao wafuatiliwe

Kikaangoni: Utapeli wa BSS ya Madam Rita, washindi wa nyuma nao wafuatiliwe

Kuna wakati tuna short sight na maamuzi yasiyo na shukrani.
Lengo kuu la BSS sio zawadi bali zawadi ni chachu ya mashindano.
Mshindi ni mmoja lakini washiriki wengi hufaidi zaidi ya zawadi.
Nani angemjua Hamisi?
Leonard? Elia? Mery Kato? Kala Jeremia?

Hii ni plaform moja matata kujitangaza/kutangazwa uwezo wako na kupewa nafasi na wasanii wakubwa su hata kupata mapokezi katika jamii.

Zawadi wapewe.
Lakini unaposemwa mashindano yafutwe hujawaza sawasawa
BSS ingefutwa tu Mana Kuna upigaji sana tena mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda hadi big brother

Sent using Jamii Forums mobile app
Big Brother wanalipa ishu ni matumizi makubwa ya washindi kwa kuzoea kuspend kifahari na ulevi wa mle ndani ya jumba. Idris Sultan alipewa 500,000,000/= yake ana bangaloo la maana na kiwanda cha viatu classic japo uhusiano na Wema Sepetu ulisababisha afulie , Emmanuel wa Naija yupo vizuri kamuoa dada wa Kitanzania alishiriki BBA. Dada aliyeshinda Big Brother Naija 2019 amepewa zawadi zake ikiwemo gari na pesa na trips mwaka mzima hawa Endemol Entertainment na Multichoice sio waongo Endemol wanaendesha pia Fear Factor and they are masters of Reality TV shows worldwide. Benchmark Production na CEO Rita Paulsen ni matapeli miaka yote hawawapi washindi zawadi wanapata wadhamini ila hela yote wanakula wao sio vijana washindi. Aibu kubwa sana mwaka huu mshindi kaamua kama mbwai na iwe mbwai safi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati tuna short sight na maamuzi yasiyo na shukrani.
Lengo kuu la BSS sio zawadi bali zawadi ni chachu ya mashindano.
Mshindi ni mmoja lakini washiriki wengi hufaidi zaidi ya zawadi.
Nani angemjua Hamisi?
Leonard? Elia? Mery Kato? Kala Jeremia?

Hii ni plaform moja matata kujitangaza/kutangazwa uwezo wako na kupewa nafasi na wasanii wakubwa su hata kupata mapokezi katika jamii.

Zawadi wapewe.
Lakini unaposemwa mashindano yafutwe hujawaza sawasawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi wengine wanaongea kimiemko na kwa hasira.
 
Mtake radhi mzee wa watu hakua mjinga kiasi hicho
unadhani kama ingekuwa ni miaka ile madam rita anatoka kimapenzi na mzee mengi, dudubaya angapeta ujasiri wa kumtukana rita matusi namna hii?. kuwa tu mkweli.
 
Huu ndio wakati wa Madam kujua rafiki wa kweli.

Maana kama mimi ni mfanyabiashara kupokea simu ya Mtu anadaiwa inataka moyo.
 
unadhani kama ingekuwa ni miaka ile madam rita anatoka kimapenzi na mzee mengi, dudubaya angapeta ujasiri wa kumtukana rita matusi namna hii?. kuwa tu mkweli.

Aisee mbona haya ni matusi makubwa inamaana dudubaya ajajifunza bado alivyofungiwa na basata.
 
Back
Top Bottom