Kikaangoni: Utapeli wa BSS ya Madam Rita, washindi wa nyuma nao wafuatiliwe

Kikaangoni: Utapeli wa BSS ya Madam Rita, washindi wa nyuma nao wafuatiliwe

Wakati ule anachukua ushindi Walter Chilambo, kulikuwa na jamaa anaitwa Wababa.
Jamaa alikuwa vizuri sana, lakini nakumbuka aliwahi kuulizwa kuhusu nini atafanya baada ya kushinda. Alitiririka mipango ya familia yake namna atakavyo saidia mama yake mzazi akijua itamsaidia(so sad).

Nadhani ilitosha kujua jamaa alivyo na kiu ya pesa na hivyo kuashiria hataacha senti kwa mtu. Jamaa alikuwa vizuri sana na sijui kwanini hakushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dogo Aliyeshika nafasi ya 2 baada ya Kayumba, nilisikitika sana, mtu aliimba wimbo wake mkali sana eti kayumba akapewa ushindi.

Mwaka jana Leonard alifaa ashinde, jamaa alikuwa poa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata me nilijua yule aliyeshika number 2 ndo atakuwa mshindi nakuja kushangaa wamempa kayumba ila kwa Leonard nakataa ni kweli ana kipaji ila alizidiwa na meshack, meshack ana vocal za hatari aisee.
 
Toka walipomwambia Harmonize hajui kuimba nikaachaga kuwafuatilia

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo Harmonize alikuwa kweli hajui kuimba achilia tu kuimba alikuwa pia hawezi kutamka maneno kwa ufasaha kwahiyo alistahili kutolewa baada ya kwenda Wasafi na kumpa mwaka mmoja before ya kumtoa ndo wakamfundisha ndo akawa vizuri.
 
Dogo yule aliyeshika namba ya 2, alikuwa na viwango vya juu sana.
Pili kuna binti flani mwembamba ana rap nilitegemea aahinde lakini alichukua mtu wa kawaida sna, jina kama sijakosea anaitwa Kato
Ule mwaka kulikuwa na vipaji haswa vikali
 
Dogo yule aliyeshika namba ya 2, alikuwa na viwango vya juu sana.
Pili kuna binti flani mwembamba ana rap nilitegemea aahinde lakini alichukua mtu wa kawaida sna, jina kama sijakosea anaitwa Kato
Sasa wapo wapi ?? wabovu tu !! Kwa maana wangetoka kimziki kwa namna nyingine mfano upo hai dogo janja au konde boy si tumeona jitahidi zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udhaifu wa BSS una sura nyingi sana.
1. Majaji wengi hawana uwezo wa kuchagua vipaji.
Wengi wanaingiza ushabiki maandazi eg. Dully
alikuwa ni mmoja wa jaji wa hovyo mno.

2. Madam, mara nyingi alivutana na majaji hasa Master J.
Hii ni moja ya udhaifu mkubwa, Master J yuko kwenye industry kitambo na anaujua mziki kuliko sisi mashabiki, huyu ni mpishi, haikuwa sawa kumlaumu, kumkosoa hadharani.

Vijana wwngi walionyesha uwezi but majaji na waandaji ni JIPU
Ule mwaka kulikuwa na vipaji haswa vikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom