Aisee mambo yanazidi kuwa mazito, nimetoka kuangalia interviews mbili hapa za waliopats kuwa washindi wa hili shindano
1.Jumanne Idd anadai alipewa gari (COROLLA USED) na sofa basi mchezo ukaishia hapo kila mtu kwao.
2.KAYUMBA (2015) yeye anadai baba yake alipewa million 2 na mama yake pia million mbili, akalipiwa wimbo wa katoto video& Audio, alipewa gari aina ya porte ila ulikuwa mkweche ambapo dogo akauza screpa kwa 1.8m, aliambiwa pesa nyingine atajengewa nyumba lkn hadi leo dogo hajawahi kupewa hati ya hiyo nyumba....anachokumbuka zaidi alikuta sh 15,000/= kwenye account yake baada ya hapo mchezo ukawa umekwisha dogo akaanza kupakuka mtaani na ameongeza kwamba huwa inawawia vigumu kupata support ya wadau coz kila wakigusa wanaambiwa wewe si umeshinda 50M jisukume mwenyewe na amempongeza meshack kwa kuwa jasiri.
Mambo ni magumu sana jamani na hii corona hebu tuendelee kunawa mikono tu[emoji114]
Sent using
Jamii Forums mobile app