Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kudharau jasho la mtu mkuu, sio kila mtu anaweza kuimba na ukumbuke bss ni shindano la kumpata kijana wa tanzania anaeimba vizuri kuzidi wenzake ambao nao wanaimba vizuri.ndo maana hata mtu akifa huwa tunatoa heshima za mwisho kuona kama kweli ni yeye au laah maana mambo ya kufanyiwa na mtu au kusikia ukweli wake ni mdogo sana yaani uimbe tu alafu wakupe millioni 50 hahahahahaha wwaafrica hatuwezi kufika mbali
Wasipojiangalia watakaa sana lupango, Yani mda huu hawachomoki, wamaemtapeli dogo wa mbeya na waziri na naibu waziri wote ni wa mbeya, watazitapika tuHawa kina Rita,salama na master Jay kumbe ni matapeli kweli kweli aise
Sent using Jamii Forums mobile app
nisaidie hizo interview nioitieAisee mambo yanazidi kuwa mazito, nimetoka kuangalia interviews mbili hapa za waliopats kuwa washindi wa hili shindano
1.Jumanne Idd anadai alipewa gari (COROLLA USED) na sofa basi mchezo ukaishia hapo kila mtu kwao.
2.KAYUMBA (2015) yeye anadai baba yake alipewa million 2 na mama yake pia million mbili, akalipiwa wimbo wa katoto video& Audio, alipewa gari aina ya porte ila ulikuwa mkweche ambapo dogo akauza screpa kwa 1.8m, aliambiwa pesa nyingine atajengewa nyumba lkn hadi leo dogo hajawahi kupewa hati ya hiyo nyumba....anachokumbuka zaidi alikuta sh 15,000/= kwenye account yake baada ya hapo mchezo ukawa umekwisha dogo akaanza kupakuka mtaani na ameongeza kwamba huwa inawawia vigumu kupata support ya wadau coz kila wakigusa wanaambiwa wewe si umeshinda 50M jisukume mwenyewe na amempongeza meshack kwa kuwa jasiri.
Mambo ni magumu sana jamani na hii corona hebu tuendelee kunawa mikono tu[emoji114]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezitizama hizo interviews. Inasikitisha sana.Aisee mambo yanazidi kuwa mazito, nimetoka kuangalia interviews mbili hapa za waliopats kuwa washindi wa hili shindano
1.Jumanne Idd anadai alipewa gari (COROLLA USED) na sofa basi mchezo ukaishia hapo kila mtu kwao.
2.KAYUMBA (2015) yeye anadai baba yake alipewa million 2 na mama yake pia million mbili, akalipiwa wimbo wa katoto video& Audio, alipewa gari aina ya porte ila ulikuwa mkweche ambapo dogo akauza screpa kwa 1.8m, aliambiwa pesa nyingine atajengewa nyumba lkn hadi leo dogo hajawahi kupewa hati ya hiyo nyumba....anachokumbuka zaidi alikuta sh 15,000/= kwenye account yake baada ya hapo mchezo ukawa umekwisha dogo akaanza kupakuka mtaani na ameongeza kwamba huwa inawawia vigumu kupata support ya wadau coz kila wakigusa wanaambiwa wewe si umeshinda 50M jisukume mwenyewe na amempongeza meshack kwa kuwa jasiri.
Mambo ni magumu sana jamani na hii corona hebu tuendelee kunawa mikono tu[emoji114]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Mengi hakuwa mfadhili wa hii project ?Kala Jeremiah nadhani kwenye million 5 aliambulia million 2, nyingine wakamwambia watampa bodaboda na kumfanyia shopping ya nguo. Walimsumbua sana.
Jr[emoji769]
Ndio wanajiita ma bosslady kwa kufanya janja janjaMalkia wa nguvu Madame Ritha
Kala hakushida BSS. Alifanikiaa kuingia Tano Bora tu. Mshindi wa BSS mwaka alioshiriki Kala anaitwa Misoji Nkwabi. Mshindi wa pili alikuwa Rogers Lucas.Kala Jeremiah nadhani kwenye million 5 aliambulia million 2, nyingine wakamwambia watampa bodaboda na kumfanyia shopping ya nguo. Walimsumbua sana.
Jr[emoji769]
Hapana washindi walikuwa jumanne idd, abubakar mzuri wa tatu simkumbuki ila kala alikuwa wa nne.Kala hakushida BSS. Alifanikiaa kuingia Tano Bora tu. Mshindi wa BSS mwaka alioshiriki Kala anaitwa Misoji Nkwabi. Mshindi wa pili alikuwa Rogers Lucas.
Mkuu hii comment ina maana kubwa sana
Hapana washindi walikuwa jumanne idd, abubakar mzuri wa tatu simkumbuki ila kala alikuwa wa nne.
Kala Jeremiah nadhani kwenye million 5 aliambulia million 2, nyingine wakamwambia watampa bodaboda na kumfanyia shopping ya nguo. Walimsumbua sana.
Jr[emoji769]