Basata hawatumii common sense kabisa, sasa unamfungia Mtu ambae hafanyi chotechote cha maana kwa hiyo sanaa yake.
Kaomba radhi na kasema ashapokea chake so tumemsameheLeo nimeona madam ritta anafanya uzinduzi wa bss 2020 je walishamalizana na meshaki au bado
fuatilia mambo yako mkuuLeo nimeona madam ritta anafanya uzinduzi wa bss 2020 je walishamalizana na meshaki au bado