Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Mcharo hebu tuambie maana ya ishara ya msalaba ni nini?
Je maana ya kwaresma ni nini?


Msalaba maana yake ni kukubali utukufu au ukombozi wa damu ya bwana wenu yesu kristo alipokufa kwenye msalaba kama malipo ya dhambi zenu.

Quaresima tunaadhimisha maungamo ya dhambi kwa kufuatisha bwana wenu yesu alivofunga siku 40 in a row bila kula wala kunywa.

Una swali lingine bwana mdogo.
 
Sidhani kama kuna member humu ana kufikia kwa majibu machafu padri...
Ni hiyo dini mpya imekufunza hivo au tangu ukiwa padri ulikua hivo?


Asante mwalimu Evelyn Salt
Niko hivi tangu nasoma Tabora Boys (the head of Tanzania)
Na sio majibu machafu, to be specific.
Bali ni maneno yenye kuonesha msimamo.


Halafu nimekufatilia sana, umekua uki like comment zote nazotukanwa humu!!
Sasa nakuvutia kasi uingie anga zangu utakiona cha mmezakuni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…