Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Padri za masiku?

Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app
 
Mara ya mwisho kuvuta mneli aka kijiti aka ganja lini?

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Halafu hii Jf app mbona inadhalilisha watu hivi? % kubwa ya members wanatumia chinese fons hahahaha aisee huenda tuna pretend sana what we write quite different from reality[emoji3]
 
Msalaba maana yake ni kukubali utukufu au ukombozi wa damu ya bwana wenu yesu kristo alipokufa kwenye msalaba kama malipo ya dhambi zenu.

Quaresima tunaadhimisha maungamo ya dhambi kwa kufuatisha bwana wenu yesu alivofunga siku 40 in a row bila kula wala kunywa.

Una swali lingine bwana mdogo.

Nonsense...
Hata mtoto anayesoma mafundisho ya komunio ya kwanza atafaulu zaidi yako.
 
Msalaba maana yake ni kukubali utukufu au ukombozi wa damu ya bwana wenu yesu kristo alipokufa kwenye msalaba kama malipo ya dhambi zenu.

Quaresima tunaadhimisha maungamo ya dhambi kwa kufuatisha bwana wenu yesu alivofunga siku 40 in a row bila kula wala kunywa.

Una swali lingine bwana mdogo.
Japo hujapatia swali langu.

Ila hebu tuambie hivi ile fimbo maaskofu huwa nayoo..inamaana ni wazee kiasi hicho hadi watembee nayo ili iwaeleke wasijeanguka au ina maana gani hasa?
 
Padri umetishaaa umejiweka kikaangoni mwenyewe, lol
swali langu, Umeshaoa???

Culture Gal.
 
hamna lolote nyie kila mru anasema dini yake ni ya kweli sasa tumuelewe nani pumbafu
 
Back
Top Bottom