mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Siwez kuendelea kujibu.nimemjibu huyo dada tu kwa heshima yake.ila kiufupi SINA BIFU ZA KIKE.Mkuu jamaa wa Arachuga umemalizana nae?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwez kuendelea kujibu.nimemjibu huyo dada tu kwa heshima yake.ila kiufupi SINA BIFU ZA KIKE.Mkuu jamaa wa Arachuga umemalizana nae?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nilikua nimeenda kuchukua rakaa zangu nne za Salat ishaa.
Siwezi kukimbia kelele za makafiri mie!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] padre hamna.kuna ishu fulani tulikuwa tunazungumza ila imeshaisha.dada angu huyoKubabake.
Mnatongozana kupitia uzi wangu sio.
Poteeni fasta
Hahaaa kazi kweli kweli..Siwez kuendelea kujibu.nimemjibu huyo dada tu kwa heshima yake.ila kiufupi SINA BIFU ZA KIKE.
Kubabake.
Mnatongozana kupitia uzi wangu sio.
Poteeni fasta
Kweli kabisaBasi kwa jibu hilo hujui lolote kuhusu upadre.
Sawa papaa Genta I mean mcharoSijakuelewa kabisa. Kabisa yani
Unakumbuka la chini ilikuwa mwaka gani? Siku nyingine panga vizuri uongo wakoLa chini ndio lilitangulia.
Rafiki...
Simu unayotumia ukienda sokoni Kariakoo haipo tena. Ishakua phased out.
Bila shaka wewe ni masikini au mshamba
Msalaba maana yake ni kukubali utukufu au ukombozi wa damu ya bwana wenu yesu kristo alipokufa kwenye msalaba kama malipo ya dhambi zenu.
Quaresima tunaadhimisha maungamo ya dhambi kwa kufuatisha bwana wenu yesu alivofunga siku 40 in a row bila kula wala kunywa.
Una swali lingine bwana mdogo.
Japo hujapatia swali langu.Msalaba maana yake ni kukubali utukufu au ukombozi wa damu ya bwana wenu yesu kristo alipokufa kwenye msalaba kama malipo ya dhambi zenu.
Quaresima tunaadhimisha maungamo ya dhambi kwa kufuatisha bwana wenu yesu alivofunga siku 40 in a row bila kula wala kunywa.
Una swali lingine bwana mdogo.