mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kuna watu wana hela na hawajui smartphone ni nini,Halafu hii Jf app mbona inadhalilisha watu hivi? % kubwa ya members wanatumia chinese fons hahahaha aisee huenda tuna pretend sana what we write quite different from reality[emoji3]
Simu yako inatumia Btn ?
Hii si aina ya maandishi ya aliyewahi kuwa Padri wa Kikatoliki. Mapadri hawawagi wajingaSikia bwana mdogo.
Lile jukwaa kuna kajamaa kanaitwa ka Pdidy. Jamaa anaboa kishenz kujaza ma prediction sijui anaya kopi kutoka wapi huko. Siku moja nimeiga kubeti kwa kutumia prediction zake. Kubabake 35,000 yangu ilienda na maji. Hivo nina hasira na pesa yangu
UDSM ulienda lini sasa?Hapana kabisa, sio kweli.l
Upadri unasomewa, ni taaluma kama taaluma zingine.
Mimi nimeanza kusoma Upadri tangu nikiwa Itaga Seminary Tabora.
Kisha nikaenda Mission ya Kipalapala.
Kisha nikaenda kuchukua degree ya Theology jijini Amsterdam nchini Uholanzi kwa kina Robin Van Persie
Kiswahili kigumu pia jamani.
Ukiachama na hamu ya mwili kwa uliyofanya naamini kuna mengine yalikuondoa. Sorry kama umeeleza naona uzi wako umekimbia sana na sijausoma wote.
Ole wako uchepuke!![emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
UDSM ulienda lini sasa?
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Kuna watu wana hela na hawajui smartphone ni nini,
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Kakojoe kisha Rudi ukalale.
Ukikutana na waumini wako bado unasalimiana nao vizuri? Kuna wanaokukimbia? **** wanaokusema vibaya ukisikia? Kuna walioelewa na kukutakia kila la kheri? Familia yako je? Ma padri wenzako wamekutenga au bado mnawasiliana?
UDSM ndio nilipo hivi sasa nachukua MBA in OIL and GAS under STAT OIL Scholarship 2016/2018.
UDSM ulisoma mwaka gani hadi ukawa unapiga nyeto
Nimeanza coursework ya masters yangu mwaka jana 2016.
Punyeto sijaacha. Sababu sina demu permanent wa kueleweka mpaka sasa.