Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

Bila shaka sasa unajua mengi kwenye hiyo dini yako mpya, uiitayo ya haki. Mimi nina maswali kwa hiyo dini,
1.Mwanzilishi wa hiyo dini ni mtume kweli?
2.Kama jibu la kwanza ni ndiyo una hakika gani na aliyempa utume ilhali kile kiumbe kilichotokea pangoni na kumbana mbavu hakikujitambulisha kwake hadi mwenyewe akakiri yumkini mashetani wamemhadaa?
3.Una hakika hiyo ni dini ya haki?
Kama ndiyo mbona mwanzilishi wake aliieneza hata kwa kuuwa watu wasio na hatia, na hata leo wafuasi wake wanafanya hivyo?
Naomba majibu halafu tutaendelea

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app


Asante dada betty marandu
Mwanzilishi wa dini sio Mtume.
Mtume ni mjumbe tu wa Mwenyezi Mungu, kama walivo kina Nabii Issa A.S, Musa, Ibrahim, Yusuph, Nuhu na Mfalme Suleiman

Uislamu ni mfumo mzima wa maisha ya binadamu. Ulikuepo tangu enzi za nabii Adam A.S.

Kutokana na jibu hilo, maswali yako yote yaliyobaki hayana maana tena.
Je unafaham sababu kwanini watoto wa dini za binadamu hubatizwa??
 
wewe lazima zimefyatuka... Umesema 2012 ukafuata dini ya haki alafu gwajima kaongea habari za maharage mwaka 2015/16. Unaakili za form two na hakuna padri mwenye akili ya hivi
Patrickn huyu mtu anayejiita padri ni wa kumdharau maana ni mwongo sana na hana hekima hata kidogo. Kwanza hakuwahi kuwa padri maana kwa majibu yake ni mtu asiyekuwa na uelewa kuhusu upadri na ukristo kwa ujumla. Zaidi ya hapo kwa kiwango cha elimu alosema angeweza kuwa mstaarabu. Pia anajieleza alibet na kupoteza hela zake sasa huyu kwa uwongo wake mbona hata dini aloiita ya haki hairuhusu kubet?
Apuuzwe tu maana hajielewi.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Asante dada rubii kwa ufatiliaji wako.
Tafadhali soma post namba 15 nimejibu vizuri tu.
Bahati yako nimeahidi kuwa Sitotukana mtu hapa.
Otherwise ningekuwashia moto hapa mpaka uimbe "a e i o u"
Kwenye dini yako mpya uwongo unaruhusiwa?

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Mcharo naaamini hata si mkatoliki. Hapa anayafuta kiki ila kwa njia mbaya ka kujenga chuki. Hana lolote mpuuze tu.

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nikuweke sawa, sikuvamia.
Nikiwa na akili zangu timamu niliona haki ilipo nikaifata.

Nikija kwenye swali lako la msingi:
Kwanza amani ya nafsi.
Pili burudani nayopata pindi naposoma Qur'an takatifu.
Maana ni kitabu kisicho na shaka ndani yake.
Nimesoma sana Bible usinione hivi.
Kila nilipokua naisoma nilikua naisoma kwa mashaka mashaka tuu. Haina amani
Hivi ni kweli kati ya waloandika quran mmoja alikuwa na mashetani?

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Mimi najua mcharuko huwa wanaitwa wanawake!! Hakuna padre mwanamke...

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app


Hicho ki simu chako bila shaka hakisapoti 4G. Ukitaka kuhamia 4G lazima ukiuze ununue C9.
Na sijui utamuuzia nani asiyetaka kuhamia 4G masikini
 
Yaap. Penginw sijui kabisa (kama unavodai)
Ama nimesahau kabisa mila za huko mkuu.

Yaani ukiniuliza habari za Upadri sijui kalienda kakarudi naona kama unanizodoa tu.
Niulize kwanini Swala ya magharibi (ile ya saa moja jioni) huswaliwa haraka sana baada ya adhana.
Hapo nitakupa full details.
Njia ya mwongo ni fupi. Ungejaribu hata kuuliza uliza kuhusu upadri kabla hujauvaa uhusika usokuwa nao. Pole kwa mahangaiko ya nafsi. Maandiko yanasema wazi wenye kusumbuliwa na kuhangaika pumziko hupatikana wapi.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Hapana kabisa.
Kubeti ni kamari.
Na kulingana na mafundisho ya dini ya Kiislam kamari ni madhambi katika madhambi makubwa.
Lakin sasa, kama unavoona mzee Jonii Alcohol Jozee Masolex anabana kila kona.
Maisha yanakua magumu mno, inabidi kulazimisha njia za haramu kupata pesa ndugu.
Astaghfurulla
Ndivyo dini ya haki ilivyokufunza? Ama kweli sikio la kufa!!!!!!

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza ww unadhalilisha uislamu unaleta mada zinazosababisha uilsam kushambuliwa kwann usifikirie impact za Uzi wako kabla hujatuma,mm nataka nikuulize mambo ya uislamu ukijibu nitajua ww ni ustadhi

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app


Uliza ujibiwe. Karibu
 
Were inwezekana bangi zimekutwala na uzinifu
Na mapepo kabisaaaaa. Sasa sijui huko alikoenda hawana uwezo wa kuombea itakuwaje sasa? Ataongezewa na makombe ataishia kubeba ile bendera ya kijani, ndevu ndefuuu, makobazi miguuni na kutembea spidi kali huku kavaa kanzu na kipedo. Mcharo! Kiruhu shauri yako

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Yaan bado nakuona una tatizo, kwa sababu kila mtu unayemjibu humu JF unamwita dada. Toka lini umeniona mimi ni KE? Umejaa kejeli tu.. Mungu akusaidie sana


Blaza, tatizo jina lako na avatar havioneshi kuwa wewe ni gender ipi.
Nimetumia weledi wangu wa Thelogy kutokana namna ya uandishi wako nika conclude kuwa wewe utakua Mwanamke.
 
Back
Top Bottom