Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
- Thread starter
-
- #401
Bila shaka sasa unajua mengi kwenye hiyo dini yako mpya, uiitayo ya haki. Mimi nina maswali kwa hiyo dini,
1.Mwanzilishi wa hiyo dini ni mtume kweli?
2.Kama jibu la kwanza ni ndiyo una hakika gani na aliyempa utume ilhali kile kiumbe kilichotokea pangoni na kumbana mbavu hakikujitambulisha kwake hadi mwenyewe akakiri yumkini mashetani wamemhadaa?
3.Una hakika hiyo ni dini ya haki?
Kama ndiyo mbona mwanzilishi wake aliieneza hata kwa kuuwa watu wasio na hatia, na hata leo wafuasi wake wanafanya hivyo?
Naomba majibu halafu tutaendelea
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Asante dada betty marandu
Mwanzilishi wa dini sio Mtume.
Mtume ni mjumbe tu wa Mwenyezi Mungu, kama walivo kina Nabii Issa A.S, Musa, Ibrahim, Yusuph, Nuhu na Mfalme Suleiman
Uislamu ni mfumo mzima wa maisha ya binadamu. Ulikuepo tangu enzi za nabii Adam A.S.
Kutokana na jibu hilo, maswali yako yote yaliyobaki hayana maana tena.
Je unafaham sababu kwanini watoto wa dini za binadamu hubatizwa??