Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini Kilikufanya Uachane na wito wa Kipadri..... Je ni Kweli Kuwa siku hizi Mapadri wengi wameoa
Ndio ilikuwa mara yako ya kwanza kusikia hayo maneno?Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Mcharo mimi nakusalimu tu aseeh.
Wewe ni moja ya watu mnaofanya nicheke JF.
Mmeacha kutumia line ya tg ?
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Haha huyo jamaa sio wa kukaa naye karibu. Ukimpa mwanya dk 10 anakufanyia kitu kibaya.Asante, karibu.
Kila nikisoma comment yako popote pale, image ya Kevin Isaya inakuja kwa kichwa
Kwa hiyo dini ya haki ni ipi na kwa nini?Nakumbuka ilikua alfajiri ya tarehe 16 June 2012. Niliposikia adhana toka msikitini muadhini akisema:
Sala ni bora kuliko usingizi.
Asaatu khayrul minan nnauum.
Siku hiyo ndipo nilipotambua dini ya haki ni ipi nikaachana kabisa na habari za Upadri
Je ni kwanini uliopewa ushemasi ulala kifudifudi?kiimani ile ina maana gani?
Ndio ilikuwa mara yako ya kwanza kusikia hayo maneno?
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Hivi unaweza kunielekeza ni wapi nitaweza pata kile kitabu cha Enoch?
Haina maana yoyote, ni mbwembwe tu zile.
Masuala mengi sana hata mie nilikua nauliza Maaskofu zangu sipewi majibu yenye mashiko.
Ndio moja ya sababu kuikimbia dini ya binadam na kuhamia dini ya haki
Honestly unanifanya nicheke sana nikiona comment zako!..btw ningependa kujua kwanini una majibu ya shombo?