Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , leo kimetangaza siku ya kufanyika kwa mkutano mkubwa kabisa wa chama hicho ambao ni Baraza Kuu la Chama , uliopangwa kufanyika Jijini Mbeya July 31 2021 . Taarifa hii imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho , Freeman Mbowe , Jijini Mwanza .
Kikao hiki kikubwa hufanyika mara moja tu kwa mwaka , ambapo imetangazwa kwamba ajenda kadhaa zitajadiliwa , ikiwemo ile iliyouliziwa sana na wanaccm akina Petro E. Mselewa na wenzake ya kutimuliwa kwa Wasaliti akiwemo Halima Mdee
======
Mimi nikiwa mtu wa Kyela ambayo imo ndani ya Mkoa wa Mbeya nachukua nafasi hii kuwakaribisha Wajumbe wote Mkoani Mbeya