Kikao cha baraza la taifa la chama cha Walimu Tanzania tarehe 18/6/2023 jijini Dodoma ni mwarobaini wa mtikisiko ndani ya chama

Hivi hilo lichama kwani kujiunga ni lazima? Ukiwa humo huwezi kujitoa?
Kupigwa kwingine ni kujitakia.
KATIBA Yao yenyewe inaruhusu mwanachama kujiuzulu uanachama. Tatizo wanamwaga Hela kwa maadui wa walimu ili wazuie walimu wasijitoe...
 
Una ushahidi?
 
Chama cha wezi na wapiga dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…