Kikao cha Bunge cha Oktoba: Yaliyojiri

Kikao cha Bunge cha Oktoba: Yaliyojiri

Mkono, you are right. Huyu Zitto hapa anatufanyia usanii.

Anakuja na maswali mapya (au sijui mazee) kuhusu sekta ya madini na madai mengine kwamba Bunge liunde tume. You just got off a Tume Zitto!!!

Kwanini hizo issue zake Zitto hakuzi address kwenye tume yake?

Bongo bwana!

Jamani nadhani tunamtuhumu Zitto bure, Ripoti na Uchunguzi haukufanywa na Zitto peke yake ni timu na sidhani kama ripoti ingeweza kuweka maoni yote na ndo maana Zitto bado ana nafasi ya kuchangia kuhusu Ripoti yake hapo Bungeni. Siamini kama Zitto ni kila kitu kwenye Tume ya Bomani; hiyo ni ripoti ya Tume ya Bomani na si ya individual members waliounda tume hiyo.

Naamini hata mawazo na mchango wa Zitto wakati Wabunge wakijadili Ripoti ya Tume ya Bomani bado ni muhimu na ni wa kufaa sana.
 
Nachoona sasa ni kama vile maadui wa Zitto na wenye wivu dhidi ya mafanikio yake Kisiasa wanataka kutumia udhaifu wa Ripoti na Tume ya Bomani kwa ujumla kumvamia Zitto. KWani Zitto ndiye alikuwa Mjumbe pekee kwenye Tume?
 
Yaaani Tanzania, sekta ya madini inachangia 40% ya mauzo yetu nje, lakini sisi as a nation tunapata mgawo wa aslimia 3% tu?

I mean that is wasup! yaani wabunge wanaenda bungeni na kukaa mpaka mwisho wa kikao bila kuonyesha hasira on this? Kweli tuna safari ndefu sana!
 
Napenda watu wanapoandika au kudai "tuwekee hapa hiyo riport". Na kali zaidi utasikia wakimwambia mwan Siasa au mgombea "tunataka SERA". Mhhh utafikiri huwa zinafuatwa. Wale wazee wa EAC ndiyo anadai au wanataka SERA. Na riport wameenda kuidai wenyewe na si kuomba wawekewe hapa.
Hivi kweli ZITTO au SLAA watachukua RIPORT huko na kuiweka hapa JF? Au mie hazinitoshi?
 
Nilichosema jana, kimo kwenye ripoti ya bomani. Ripoti hii ni 'public document' na tayari nilishaitoa kwa mod aiweke hapa toka mwezi May.

Madai ya Mkono kuhusu Buhemba ni madai sahihi kabisa. Kamati yetu ilijadili suala la Buhemba na kukuta lina utata mkubwa sana na hivyo kutaka Uchunguzi wa kina ufanyike. Nilichosema jana ni kuwa Kamati ya Shelukindo imetaka uchunguzi maalumu katika Bulyanhulu, Kiwira na mwadui. Mimi nimesema uchunguzi huo maalumu wa kibunge uhusishe Buhemba.

Mimi binafsi nimeridhika sana na Taarifa yetu. It is the best we could get. It will reform the mining sector. I am proud to serve in that committee. I am proud of my inputs to the report. I passed a test, watu wengi walidhani nitazibwa mdomo! Nikawaambia sina bei................. nimedhihirisha.

Pili, watu wengi waliamini ripoti hii haitakuwa wazi. Nikasema serikali isipoiweka wazi mimi nitaiweka wazi. Serikali ikaiweka wazi bila kubadili kitu wala kuandika upya. Zaidi ya hapo imejadiliwa Bungeni na kupewa siku nzima ya shughuli za Bunge. Haijawahi kutokea kwa Ripoti yeyote ya Madini kuwasilishwa Bungeni na kujadiliwa. Lolote linalowasilishwa Bungeni ni la Umma.

Mkono na Buhemba yake yupo sahihi kabisa. Kuna tatizo la 158bn walizolipwa Meremeta kupitia benki ya NEDBANK ya Afrika ya Kusini. Ubadhirifu wa zaidi ya EPA.
 
Sasa mheshimiwa mimi naomba kuuliza, huo uchunguzi wa kina ni nani wakuamrisha? ni huyu huyu Kikwete tunayemfahamu ama ni Bunge. Jana mjadala umefungwa na waziri kutoa majumuisho yake lakini sikuona kama kuna azimio lolote la Bunge la kutaka Buhemba ichunguzwe.

Lazima ieleweke kuwa sisi watanzania sasa tumechoka kudanganywa danganywa kama watoto. Kama waziri mkuu mwenyewe alitamka masuala ya meremeta yanahusu usalama wa taifa, kweli kuna jambo lolote litafanywa hapa?

Mimi nafikiri watanzania tuache tena kuzungumzia EPA, hiyo imetosha tuhamie kwenye Meremeta na Tangold.
 
Nilichosema jana, kimo kwenye ripoti ya bomani. Ripoti hii ni 'public document' na tayari nilishaitoa kwa mod aiweke hapa toka mwezi May.

Madai ya Mkono kuhusu Buhemba ni madai sahihi kabisa. Kamati yetu ilijadili suala la Buhemba na kukuta lina utata mkubwa sana na hivyo kutaka Uchunguzi wa kina ufanyike. Nilichosema jana ni kuwa Kamati ya Shelukindo imetaka uchunguzi maalumu katika Bulyanhulu, Kiwira na mwadui. Mimi nimesema uchunguzi huo maalumu wa kibunge uhusishe Buhemba.

Mimi binafsi nimeridhika sana na Taarifa yetu. It is the best we could get. It will reform the mining sector. I am proud to serve in that committee. I am proud of my inputs to the report. I passed a test, watu wengi walidhani nitazibwa mdomo! Nikawaambia sina bei................. nimedhihirisha.

Pili, watu wengi waliamini ripoti hii haitakuwa wazi. Nikasema serikali isipoiweka wazi mimi nitaiweka wazi. Serikali ikaiweka wazi bila kubadili kitu wala kuandika upya. Zaidi ya hapo imejadiliwa Bungeni na kupewa siku nzima ya shughuli za Bunge. Haijawahi kutokea kwa Ripoti yeyote ya Madini kuwasilishwa Bungeni na kujadiliwa. Lolote linalowasilishwa Bungeni ni la Umma.

Mkono na Buhemba yake yupo sahihi kabisa. Kuna tatizo la 158bn walizolipwa Meremeta kupitia benki ya NEDBANK ya Afrika ya Kusini. Ubadhirifu wa zaidi ya EPA.

Kwanza nashukuru umekubali kwamba Mkono is right.

But let me make it absolutely clear what Mkono is saying so you know exactly what you are agreeing here.

Mkono anasema:

1. Tume yako, tume ya Rais, kutuambia haijapata majibu hiyo ni unacceptable. Tume ya uchunguzi kupendekeza Tume nyingine ya Uchunguzi kujua nani anamiliki mgodi huo ndio Mkono anasema usanii.

Wananchi wamechoka na tume. Kwa nini tume yako, Tume ya Rais, haikuwa na mandate ya kujua nani ana miliki Buhemba?

2. Mkono anasema kabla ya Tume yako, Tume ya Rais, kuundwa ulikuwa unalipigia sana kelele haya mambo. Umeingizwa kwenye Tume halafu ukaenda humo ukanyamaza kimyaaaa!

Kama ungepiga kelele ukiwa ndani ya hiyo Tume ungekuja na majibu, sio maswali mengine, muheshimiwa Zitto.

Jana umehoji inakuwaje madini yanachangia asilimia 40 ya mapato ya mauzo nje ya nchi lakini hapa nchini yanachangia asilimia 3 tu ya pato la Taifa.

Wakina Mkono na wengine jana tulitegemea utuletee majibu. Utuambie yanaenda wapi hayo mapato. Ndio maana Rais Kikwete akakuweka kwenye Tume. Alikuwa na sababu. Na jana umemshukuru kwa kukuweka kwenye Tume japo ulikuwa sio favorite wa wabunge wenzio. He had a reason, the president did.

Wewe tena unapendekeza Tume. Wananchi wamechoka na hizi Tume na Kamati za Bunge na Rais.

Halafu, mheshimiwa Zitto, unatuambia ripoti ya Shelukindo ndio more "radicle." Kwa nini wewe hukuifanya ile uliyokuwemo wewe iwe "radicle" ? People expect more from you Zitto.

We huoni mpaka Mbunge mwenzako, the high-powered and well-placed Mkono nae anaweka matumaini yake kwa mtu kama wewe, Mbunge mwenzie. Wewe unakuwa held to a different standard. Unapotuambia ripoti ya Shelukindo ndio radical na kupendekeza tume nyingine, na kuhoji mapato ya madini badala ya kutupa majibu ndio Mkono anasema huo usanii.

Halafu unasema Bungeni kwamba unataka iundwe tena kamati ya Bunge kuchunguza kufukiwa kwa wachimbaji Bulyahulu. Kamati yako ilishindwa nini ? Si umesema kamati yenu, ya Rais, ilipokea malalamiko. Sasa mlipokea malalamiko halafu hamkuyafanyia kazi ? Haikuwa mandate yenu? Sasa mlikusanya malalamiko ya nini ?

Unataka more Tume's and more Kamati's. Wananchi wamezichoka Zitto. Kamati hazi work. Ndio leadership style ya Kikwete administration. Kamati's and more Kamati's!!!

Ndio maana Mkono anasema ni usanii. Mkono anasema it doesn't take more Kamati's to figure out who owns these mines! Mnamwambia Mbunge wa jimbo lenye mgodi kwamba Kamati yenye presidential gravitas imeshindwa kujua nani mmiliki wa mgodi. Sio usanii huo ? Nimrod Mkono is right!
 
Kweli kabisa, hapa ndipo hoja ya Dr Slaa na BOT ilipo na huu ndio msingi mwingine wa List of Shame. Meremeta, Tangold, Deep gree nk. Serikali haijajibu haya. EPA 133 ni asilimia kumi tu ya bilioni 1330 zilizoibwa kwa ufisadi. Hizi 1,330,000,000,000 ni sawa na kila mtu mzima kule kwetu Zanzibar kupatia zaidi ya milioni moja cash. Hizi ndio wanazo wakina Manji, Rostam, Jeetu Patel, Mkono, Mzindakaya, Mramba, Mkapa, Lowassa, Kikwete na wenzao wengine

Asha
 
Kwanza nashukuru umekubali kwamba Mkono is right.

But let me make it absolutely clear what Mkono is saying so you know exactly what you are agreeing here.

Mkono anasema:

1. Tume yako, tume ya Rais, kutuambia haijapata majibu hiyo ni unacceptable. Tume ya uchunguzi kupendekeza Tume nyingine ya Uchunguzi kujua nani anamiliki mgodi huo ndio Mkono anasema usanii. Wananchi wamechoka na tume. Kwa nini tume yako, Tume ya Rais, haikuwa na mandate ya kujua nani ana miliki Buhemba?

2. Mkono anasema kabla ya Tume yako, Tume ya Rais, kuundwa ulikuwa unalipigia sana kelele haya mambo. Umeingizwa kwenye Tume halafu ukaenda humo ukanyamaza kimyaaaa!
Kama ungepiga kelele ukiwa ndani ya hiyo Tume ungekuja na majibu, sio maswali mengine, muheshimiwa Zitto.

Jana umehoji inakuwaje madini yanachangia asilimia 40 ya mapato ya mauzo nje ya nchi lakini hapa nchini yanachangia asilimia 3 tu ya pato la Taifa.

Wakina Mkono na wengine jana tulitegemea utuletee majibu. Utuambie yanaenda wapi hayo mapato. Ndio maana Rais Kikwete akakuweka kwenye Tume. Alikuwa na sababu. Na jana umemshukuru kwa kukuweka kwenye Tume japo ulikuwa sio favorite wa wabunge wenzio. He had a reason, the president did.

Wewe tena unapendekeza Tume. Wananchi wamechoka na hizi Tume na Kamati za Bunge na Rais. Halafu, mheshimiwa Zitto, unatuambia ripoti ya Shelukindo ndio more "radicle." Kwa nini wewe hukuifanya ile uliyokuwemo wewe iwe "radicle" ? People expect more from you Zitto.

We huoni mpaka Mbunge mwenzako, the high-powered and well-placed Mkono nae anaweka matumaini yake kwa mtu kama wewe, Mbunge mwenzie. Wewe unakuwa held to a different standard. Unapotuambia ripoti ya Shelukindo ndio radical na kupendekeza tume nyingine, na kuhoji mapato ya madini badala ya kutupa majibu ndio Mkono anasema huo usanii.

Halafu unasema Bungeni kwamba unataka iundwe tena kamati ya Bunge kuchunguza kufukiwa kwa wachimbaji Bulyahulu. Kamati yako ilishindwa nini ? Si umesema kamati yenu, ya Rais, ilipokea malalamiko. Sasa mlipokea malalamiko halafu hamkuyafanyia kazi ? Haikuwa mandate yenu? Sasa mlikusanya malalamiko ya nini ?

Unataka more Tume's and more Kamati's. Wananchi wamezichoka Zitto. Kamati hazi work. Ndio leadership style ya Kikwete administration. Kamati's and more Kamati's!!!

Ndio maana Mkono anasema ni usanii. Mkono anasema it doesn't take more Kamati's to figure out who owns these mines! Mnamwambia Mbunge wa jimbo lenye mgodi kwamba Kamati yenye presidential gravitas imeshindwa kujua nani mmiliki wa mgodi. Sio usanii huo ? Nimrod Mkono is right!

Kuhani

Wewe hujui kwenye hizo tume kuna ulaji? hiyo kishaonja asali anataka kuchonga mzinga sasa....

Only in Tanzania kamati, tume, task force etc mwendo mdundo. Ufisadi upo wa aina nyingi ati....
 
Kwanza nashukuru umekubali kwamba Mkono is right.

But let me make it absolutely clear what Mkono is saying so you know exactly what you are agreeing here.

Mkono anasema:

1. Tume yako, tume ya Rais, kutuambia haijapata majibu hiyo ni unacceptable. Tume ya uchunguzi kupendekeza Tume nyingine ya Uchunguzi kujua nani anamiliki mgodi huo ndio Mkono anasema usanii.

Wananchi wamechoka na tume. Kwa nini tume yako, Tume ya Rais, haikuwa na mandate ya kujua nani ana miliki Buhemba?

2. Mkono anasema kabla ya Tume yako, Tume ya Rais, kuundwa ulikuwa unalipigia sana kelele haya mambo. Umeingizwa kwenye Tume halafu ukaenda humo ukanyamaza kimyaaaa!

Kama ungepiga kelele ukiwa ndani ya hiyo Tume ungekuja na majibu, sio maswali mengine, muheshimiwa Zitto.

Jana umehoji inakuwaje madini yanachangia asilimia 40 ya mapato ya mauzo nje ya nchi lakini hapa nchini yanachangia asilimia 3 tu ya pato la Taifa.

Wakina Mkono na wengine jana tulitegemea utuletee majibu. Utuambie yanaenda wapi hayo mapato. Ndio maana Rais Kikwete akakuweka kwenye Tume. Alikuwa na sababu. Na jana umemshukuru kwa kukuweka kwenye Tume japo ulikuwa sio favorite wa wabunge wenzio. He had a reason, the president did.

Wewe tena unapendekeza Tume. Wananchi wamechoka na hizi Tume na Kamati za Bunge na Rais.

Halafu, mheshimiwa Zitto, unatuambia ripoti ya Shelukindo ndio more "radicle." Kwa nini wewe hukuifanya ile uliyokuwemo wewe iwe "radicle" ? People expect more from you Zitto.

We huoni mpaka Mbunge mwenzako, the high-powered and well-placed Mkono nae anaweka matumaini yake kwa mtu kama wewe, Mbunge mwenzie. Wewe unakuwa held to a different standard. Unapotuambia ripoti ya Shelukindo ndio radical na kupendekeza tume nyingine, na kuhoji mapato ya madini badala ya kutupa majibu ndio Mkono anasema huo usanii.

Halafu unasema Bungeni kwamba unataka iundwe tena kamati ya Bunge kuchunguza kufukiwa kwa wachimbaji Bulyahulu. Kamati yako ilishindwa nini ? Si umesema kamati yenu, ya Rais, ilipokea malalamiko. Sasa mlipokea malalamiko halafu hamkuyafanyia kazi ? Haikuwa mandate yenu? Sasa mlikusanya malalamiko ya nini ?

Unataka more Tume's and more Kamati's. Wananchi wamezichoka Zitto. Kamati hazi work. Ndio leadership style ya Kikwete administration. Kamati's and more Kamati's!!!

Ndio maana Mkono anasema ni usanii. Mkono anasema it doesn't take more Kamati's to figure out who owns these mines! Mnamwambia Mbunge wa jimbo lenye mgodi kwamba Kamati yenye presidential gravitas imeshindwa kujua nani mmiliki wa mgodi. Sio usanii huo ? Nimrod Mkono is right!

Kuhani,

Nadhani ungesoma ripoti ile. Kwanza, Kamati haikuwa kwa ajili ya Buhemba tu. Kimsingi ilikuwa ni kupitia Mikataba ya Madini, na bahati mbaya sana Buhemba si moja ya mgodi ambao kampuni yake ilikuwa na Mkataba. Hivyo hapakuwa na Mkataba au kimombo MDA kati ya Meremeta na GoT. Hata hivyo, kamati iliomba kwa Rais tushughulikie mambo yaliyo nje ya Mikataba pia na ndio maana jina la Kamati likabadilika kutoka Kamati ya Rais kupitia Mikataba ya Madini na kuwa Kamati ya Rais ya kuishauri Serikali juu ya usimamizi wa sekta ya Madini. Ingebaki ni mikataba tu, hata Tanzanite one tusingeenda, au Kiwira au hata Mchuchuma na Liganga kwani migodi hiyo haina Mikataba.

Suala la Buhemba tumeliandikia katika Ripoti. Tumeweza kumhoji Gavana wa Benki Kuu na kupata documentary evidence kuhusu malipo ya Meremeta na tumeandika. Hatukupata taarifa za kutosha kuweza kujiridhisha na kutoa mapendekezo mengineyo kwani uchunguzi zaidi ulitakiwa. Uchunguzi huo waweza kufanywa na Bunge (kwa mujibu wa sheria no.3 ya 1988, sheria ya Kinga, Bunge linaweza kumwita mtu yeyote). Kamati ile haikuwa Commission of Inquiry (Lisu na Mwanakijiji waliandika hili) na hivyo kuna mambo ingebidi kurudi kwa Rais na Kamati ingechukua muda mwingi sana.

Ijulikane kuwa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini haikufanya uchunguzi upya. Kamati hii imepitia Ripoti ya Bomani na kuweka maoni yake ili kuwasilisha Bungeni. Nilisema imekuwa radical kwa sababu kuna maeneo ambayo kamati hii ya bunge imeboresha. Mfano Kamati ya Bomani imesema MDA ziwe kwa uwekezaji wa 200m USD na zaidi, Kamati ya Bunge imesema hapana, iwe 600mUSD. That is too radical as no initial investements so far hit 500m USD!
Sisi tumetaka Uchunguzi zaidi Buhemba, wao wameongeza Bulyanhulu, Kiwira na Mwadui. Ndio nika appreciate kuwa wamekuwa na mengine zaidi na hivyo wamekuwa 'more' radical. Lakini ripoti ya Kamati ya Bunge sio ripoti mpya, ni maoni juu ya ripoti ya Bomani ambayo makampuni yanaipinga kwa sababu ni radical pia maana inapelekea overhaul ya sekta na kufuta misamaha mingi sana.

Kuhani, nadhani umenielewa.
 
Kuhani

Wewe hujui kwenye hizo tume kuna ulaji? hiyo kishaonja asali anataka kuchonga mzinga sasa....

Only in Tanzania kamati, tume, task force etc mwendo mdundo. Ufisadi upo wa aina nyingi ati....

Masatu

Thats not me! I dont take bribe, nor kickbacks. I have the future to build. Kwamba wabunge wako wa CCM wanaonjeshwa asali, haina maana nami pia. Kuna kazi za kufanywa na Kamati Teule za Bunge. Ndio kazi ya Bunge kufanya oversight. Hawezi kufaya Mbunge mmoja. Pia Kamati si ulaji pekee. Ulaji upi katika Kamati Masatu? Mbona sijaona ulaji huo katika Kamati ya Bomani?
 
Zitto:

1. Kamati iligharimu bei gani jumla?

2. Kumbe waliopinga kamati na kutaka iundwe tume yenye mamlaka ya kuitisha watu na nyaraka na kuwahoji chini ya kiapo walikuwa na hoja?

3. Kwa maoni yako, je Rais atatekeleza mapendezo yenu au ni too radical atayaweka kapuni kama ripoti zilizopita?

4. Kwa hiyo unataka kusema Pinda alilidanganya taifa aliposema Meremeta ni siri ya Jeshi?

PM
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Rais ya Madini amekiri kwamba kamati aliyokuwemo ilikuwa ni ulaji.

.....ndiyohiyo
 
Soo what? ulitaka akumegee kidogo alichopata au nini kipya hapo? acha propaganda za kutaka kumchafua mwenzio.
 
Kuna post inazungumzia yaliyojiri Bungeni, huko Zitto ameeleza kuhusu ushiriki wake kwenye kamati. Hiyo inaitwa From the horses mouth. sasa wewe ndugu yetu maneno haya umeyapata wapi?
 
From the horses mouth in the same post you are talking about. Go and read between lines

.....ndiyohiyo
 
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Rais ya Madini amekiri kwamba kamati aliyokuwemo ilikuwa ni ulaji.

.....ndiyohiyo

it is very low, ndo matatizo ya kuzoea umbeya, sema unataka nini kumwaibisha Mhe. Zitto au?
 
Kuhani,

Nadhani ungesoma ripoti ile. Kwanza, Kamati haikuwa kwa ajili ya Buhemba tu. Kimsingi ilikuwa ni kupitia Mikataba ya Madini, na bahati mbaya sana Buhemba si moja ya mgodi ambao kampuni yake ilikuwa na Mkataba. Hivyo hapakuwa na Mkataba au kimombo MDA kati ya Meremeta na GoT. Hata hivyo, kamati iliomba kwa Rais tushughulikie mambo yaliyo nje ya Mikataba pia na ndio maana jina la Kamati likabadilika kutoka Kamati ya Rais kupitia Mikataba ya Madini na kuwa Kamati ya Rais ya kuishauri Serikali juu ya usimamizi wa sekta ya Madini. Ingebaki ni mikataba tu, hata Tanzanite one tusingeenda, au Kiwira au hata Mchuchuma na Liganga kwani migodi hiyo haina Mikataba.

Suala la Buhemba tumeliandikia katika Ripoti. Tumeweza kumhoji Gavana wa Benki Kuu na kupata documentary evidence kuhusu malipo ya Meremeta na tumeandika. Hatukupata taarifa za kutosha kuweza kujiridhisha na kutoa mapendekezo mengineyo kwani uchunguzi zaidi ulitakiwa. Uchunguzi huo waweza kufanywa na Bunge (kwa mujibu wa sheria no.3 ya 1988, sheria ya Kinga, Bunge linaweza kumwita mtu yeyote). Kamati ile haikuwa Commission of Inquiry (Lisu na Mwanakijiji waliandika hili) na hivyo kuna mambo ingebidi kurudi kwa Rais na Kamati ingechukua muda mwingi sana.

Ijulikane kuwa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini haikufanya uchunguzi upya. Kamati hii imepitia Ripoti ya Bomani na kuweka maoni yake ili kuwasilisha Bungeni. Nilisema imekuwa radical kwa sababu kuna maeneo ambayo kamati hii ya bunge imeboresha. Mfano Kamati ya Bomani imesema MDA ziwe kwa uwekezaji wa 200m USD na zaidi, Kamati ya Bunge imesema hapana, iwe 600mUSD. That is too radical as no initial investements so far hit 500m USD!
Sisi tumetaka Uchunguzi zaidi Buhemba, wao wameongeza Bulyanhulu, Kiwira na Mwadui. Ndio nika appreciate kuwa wamekuwa na mengine zaidi na hivyo wamekuwa 'more' radical. Lakini ripoti ya Kamati ya Bunge sio ripoti mpya, ni maoni juu ya ripoti ya Bomani ambayo makampuni yanaipinga kwa sababu ni radical pia maana inapelekea overhaul ya sekta na kufuta misamaha mingi sana.

Kuhani, nadhani umenielewa.

ahsante kwa ufafanuzi huo mh. Lakini pamoja na ufafanuzi mzuri bado nina swali moja la muhimu sana.Wakati wa kikao cha 12 cha bunge la bajeti lililoanza june na kumalizika august, mh.waziri mkuu pinda aliitetea sana meremeta na buhemba kuwa ni mambo yanayohusiana na usalama wa taifa.
leo nyie mnakuja na pendekezo kuwa iundwe tume ya kuchunguza buhemba na meremeta, hiyo tume itapata wapi nguvu za kuchunguza mambo ya usalama wa taifa?????
Je kwa mtazamo mpana zaidi na kwa uzoefu ulioupata kwa kushirikishwa kamatri ya bomani, unadhani kinachotakiwa kufanywa ni kipi kati ya kuunda tume kama hiyo ya bomani/mboma/kipokola na wengineo au kuunda kamati kama ya mwakyembe itakayokuwa na uwezo wa kumuita mtu yeyote na kumhoji???
 
Zitto:

1. Kamati iligharimu bei gani jumla?

Sijui kamati ilitumia kiasi gani kwa jumla. Taarifa ya CAG itaeleza baada ya ukaguzi wa mwaka huo wa fedha na gharama zitajulikana.

2. Kumbe waliopinga kamati na kutaka iundwe tume yenye mamlaka ya kuitisha watu na nyaraka na kuwahoji chini ya kiapo walikuwa na hoja?

Hoja hapo ipo. Nilipingana na kuipinga Kamati. Kupinga kamati haikuwa sahihi kwani hali ya 'kisiasa' ilihitaji kamati kuundwa. Utakumbuka katika moja ya makala zangu baada ya kusimanishwa Bunge, nilitoa rai kuwa Rais atumie nafasi yake kama Mkuu wa Nchi (si Mkuu wa serikali maana serikali ilishiriki kunipinga Bungeni na kunisimamisha) kuunda kamati. Azimio la Songea la tarehe 10 Septemba 2007 pia lilitaka Rais aunde Kamati. Ingekuwa Commission of Inquiry ingekuwa bora zaidi. Ingekuwa Kamati ya Bunge ingekuwa bora zaidi. Lakini tumeweza kutumia Kamati hii ya bomani, na kwamba ni Kamati ya Rais kutoa ripoti hii nzuri sana kwa mwono wangu. Hoja yangu Bungeni kuhusu Mikataba na pia kuhusu sehemu ya sheria za fedha (15% clause) imethibitishwa na Kamati ya Bomani kuwa ni sahihi. Tumeweza pia kuona madhara ya clause hiyo ya sheria. Hivyo, kupinga kamati haikuwa sahihi ingawa ni haki ya waliopinga. Kwamba Kamati ingekuwa ni ya bunge ni sahihi kabisa.

3. Kwa maoni yako, je Rais atatekeleza mapendezo yenu au ni too radical atayaweka kapuni kama ripoti zilizopita?

Nilipokuwa Tanga katika mkutano wa hadhara nilisema kuwa iwapo Rais hataweka wazi ripoti hii mimi nitaiweka wazi. Serikali ikaileta Bungeni ripoti hii. Nimewaambia, iwapo serikali haitatekeleza ripoti ya Bomani, sisi tutaitumia katika kampeni 2010 na kuwaomba wananchi watupe nafasi ya kuitekeleza. Mimi ninaamini tukiitekeleza ripoti hii, Taifa litanufaika sana na sekta ya Madini. Serikali imeahidi jana Bungeni kuwa ifikapo mwaka Aprili 2009 watakuwa wametekeleza kwa kuandika upya sheria ya madini na sheria za kodi kuhusu sekta ya madini

4. Kwa hiyo unataka kusema Pinda alilidanganya taifa aliposema Meremeta ni siri ya Jeshi?

Nilisema Bungeni kuwa Waziri Mkuu alikosea na kwamba Meremeta sio suala la Usalama wa Taifa. Ninarudia kusema kuwa Waziri Mkuu alikosea. Meremeta ilikuwa kampuni na serikali ilitumia kampuni hiyo kuchota fedha za umma na kuilipa kampuni ya Afrika Kusini. Ni sehemu ya Ufisadi. Pinda hakuwa sahihi.
PM

Nimekujibu ndani ya quotes zako kwa rangi na bold
 
Masatu

Thats not me! I dont take bribe, nor kickbacks. I have the future to build. Kwamba wabunge wako wa CCM wanaonjeshwa asali, haina maana nami pia. Kuna kazi za kufanywa na Kamati Teule za Bunge. Ndio kazi ya Bunge kufanya oversight. Hawezi kufaya Mbunge mmoja. Pia Kamati si ulaji pekee. Ulaji upi katika Kamati Masatu? Mbona sijaona ulaji huo katika Kamati ya Bomani?

mh.zitto najua utakubaliana nami kuwa iwe kamati au tume, matumizi ya pesa hayaepukiki.lakini muhimu hapa si ulaji kwa maana ya pesa iliyotumika, kwangu mimi lililo la msingi hapa ni outcome ya hiyo tume/kamati.
tunafahamu utitiri wa tume/kamati ambazo zimekuwa zikiundwa na serikali na bunge lakini hatujawahi kushuhudia matunda ya hizo tume/kamati kwenye sekta ya madini,labda kamati ya jaji kipenka ndio tunaona matunda yake ingawa bado matunda hayajaiva walau kuna mchakato unaendelea.
unajua sababu ya watu kuchoka na tume/kamati ni ripoti/kazi zao kutotekelezwa!!!tunakumbuka vizuri sana namna ambavyo serikali imekuwa ikisuasua kuyatekeleza mapendekezo ya kamati ya bunge iliyochunguza richmond(kamati ya mwakyembe), je unadhani wananchi wana imani na hizo tume/kamati unazopendekeza ziendelee kuundwa???ndiyo maana watu wanahisi kuna ulaji!!!!
 
Back
Top Bottom