Kikao cha Dharula: Kabudi atateuliwa kuwa Makamu wa Rais

Kikao cha Dharula: Kabudi atateuliwa kuwa Makamu wa Rais

Ima Nchimbi hana tamaa na Urais…. It is just so hard kufanya kazi na mtu ambae hajui hata maana ya nafasi ya Urais
Pia , sheria kwamba never out smart your boss , ni sheria ya kipuuzi iliyoanzishwa ka wakoloni…… Kama boss hana uwezo , wewe huwezi kujifanya pia huna uwezo

You have to be yourself, and not pretending to be dumb as your boss , that is silly

Samia lacks quality za kuwa rais

Mpango aliliona Hilo by far , hata mauaji tungekuwa na smart president kamwe yasingetokea
Exactly!
Nilishasema humu mara nyingi hiyo akili ya never outsmart your boss ililetwa na mtu kilaza na mwoga....
Ukitaka kuwa juu yangu hakikisha upo vizuri kinyume na hapo lazima tuzinguane....sifagiliagi ufala hata kidogo.
 
Anamuweka
1. Mtu atayeweza kumcontrol
2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030
3. Mkristo hasa awe Mkatoliki
4. Mtanganyika
5. Mwanaume
6. Mkubwa kiumri kuliko yeye
7. Muongeaji sana (Propaganda)
Kaburi sio mkatoliki!
 
Anamuweka
1. Mtu atayeweza kumcontrol
2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030
3. Mkristo hasa awe Mkatoliki
4. Mtanganyika
5. Mwanaume
6. Mkubwa kiumri kuliko yeye
7. Muongeaji sana (Propaganda)
Kabudi ni muAnglicana
 
Anamuweka
1. Mtu atayeweza kumcontrol
2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030
3. Mkristo hasa awe Mkatoliki
4. Mtanganyika
5. Mwanaume
6. Mkubwa kiumri kuliko yeye
7. Muongeaji sana (Propaganda)
Sasa kabudi ni mkatoliki?

Halafu huu udini unatoka wapi?
 
Anamuweka
1. Mtu atayeweza kumcontrol
2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030
3. Mkristo hasa awe Mkatoliki
4. Mtanganyika
5. Mwanaume
6. Mkubwa kiumri kuliko yeye
7. Muongeaji sana (Propaganda)
Kigezo cha dini hakina mashiko
 
Pale Magufuli alifeli sana kumuweka Samia kama makamu wake
Magufuli hakumuweka Samia, alipewa tu na chama.

Magufuli alimtaka Hussein Mwinyi.

CCM tabia yao mgombea urais hachagui mgombea mwenza, anapewa na chama tu.

Hili jambo linatengeneza matatizo sana, Rais anakuwa hapatani na Makamu wa Rais.

Tuliliona hili suala kwa Magufuli kutopatana na Samia, na sasa tunaliona tena Samia hapatani na Nchimbi.
 
Back
Top Bottom