Kikao cha Dharula: Kabudi atateuliwa kuwa Makamu wa Rais

Exactly!
Nilishasema humu mara nyingi hiyo akili ya never outsmart your boss ililetwa na mtu kilaza na mwoga....
Ukitaka kuwa juu yangu hakikisha upo vizuri kinyume na hapo lazima tuzinguane....sifagiliagi ufala hata kidogo.
 
Anamuweka
1. Mtu atayeweza kumcontrol
2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030
3. Mkristo hasa awe Mkatoliki
4. Mtanganyika
5. Mwanaume
6. Mkubwa kiumri kuliko yeye
7. Muongeaji sana (Propaganda)
Kaburi sio mkatoliki!
 
Anamuweka
1. Mtu atayeweza kumcontrol
2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030
3. Mkristo hasa awe Mkatoliki
4. Mtanganyika
5. Mwanaume
6. Mkubwa kiumri kuliko yeye
7. Muongeaji sana (Propaganda)
Kabudi ni muAnglicana
 
Anamuweka
1. Mtu atayeweza kumcontrol
2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030
3. Mkristo hasa awe Mkatoliki
4. Mtanganyika
5. Mwanaume
6. Mkubwa kiumri kuliko yeye
7. Muongeaji sana (Propaganda)
Sasa kabudi ni mkatoliki?

Halafu huu udini unatoka wapi?
 
Anamuweka
1. Mtu atayeweza kumcontrol
2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030
3. Mkristo hasa awe Mkatoliki
4. Mtanganyika
5. Mwanaume
6. Mkubwa kiumri kuliko yeye
7. Muongeaji sana (Propaganda)
Kigezo cha dini hakina mashiko
 
Pale Magufuli alifeli sana kumuweka Samia kama makamu wake
Magufuli hakumuweka Samia, alipewa tu na chama.

Magufuli alimtaka Hussein Mwinyi.

CCM tabia yao mgombea urais hachagui mgombea mwenza, anapewa na chama tu.

Hili jambo linatengeneza matatizo sana, Rais anakuwa hapatani na Makamu wa Rais.

Tuliliona hili suala kwa Magufuli kutopatana na Samia, na sasa tunaliona tena Samia hapatani na Nchimbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…